Tafuta Hapa / Search here

Loading...

Thursday, 23 May 2013

HATIMAYE DR SLAA AKUBALIWA NA MAHAKAMA KUFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE.

Dk. Willibroad Slaa na mchumba wake, Josephine Mshumbushi.
Na Happiness Katabazi, Dar es salaam
HATIMAYE Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imekatwa na aliyekuwa mume wa Josephine Mushumbusi, Maimbo baada ya kuiona rufaa hiyo haina msingi wowote kisheria.

Hukumu hiyo ya rufaa ya  madai ya ndoa Na.32/2012 ilitolewa leo na Hakimu Aniseth Wambura ambapo alisema mahakama yake imefikia uamuzi huo wa kuitupa rufaa hiyo kwasababu haina mantiki ya kisheria.

Hakimu Wambura alisema mahakama yake imekubalina na hukumu iliyotolewa Aprili 2012 na Mahakama ya Mwanzo Sinza katika kesi ya madai talaka iliyokuwa imefunguliwa na Mushumbusi anayetetewa na wakili wa kujitegemea Philemon Mutakyamilwa  dhidi ya Maimbo ambapo mahakama hiyo ya chini ilitangaza kuwa hakukuwa na ndoa baina ya watu hao kwasababu Maimbo alikuwa ni mzinzi, simwaminifu katika ndoa yake na alikuwa akimtesa mkewe.

“Baada ya mahakama yangu kusikiliza hoja za mwomba rufaa na mjibu rufaa ,mahakama hii imefikia uamuzi wa kukubali hoja za Mushumbisi kuwa kwa tabia ile ya mbaya ya uzinzi na ukosefu wa uaminifu katika ndoa yake hapakuwepo na ndoa baina yao hivyo mahakama yake inatangaza kuwa hukumu ya mahakama ya Mwanzo Sinza ambayo iliivunja ndoa hiyo ilikuwa hukumu sahihi “alisema hakimu Wambura.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi baada ya kutolewa kwa hukumu hiyo wakili Mutakyamilwa alisema amefurahishwa na hukumu hiyo kwani mahakama imetenda haki  kwasababu kesi hiyo ya madai ya talaka ilikuwa na msukumo wa siasa chafu zilizokuwa na lengo chafu la kumchafulia jina mteja wake(Mshumbusi) ambaye kwa sasa ni mzazi mwenzie Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Wilbroad Slaa.

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

KIM KARDASHIAN'S BABY SHOWER ON IT'S WAY.

Kim Kardashian on the cover of the May 20, 2013, edition of US Weekly.
If the invitations are anything to go by, Kim Kardashian's baby shower will be a no expenses spared extravaganza.

The lucky invitees received a fully functioning music box complete with a twirling ballerina who bears a striking resemblance to reality TV star Kim. 

The all singing, all dancing music box also has the baby's father Kanye West at its heart. Once the box, as shown by TMZ, is opened, a lullaby version of the rapper's Hey Mama track plays.

The inside of the box featured a message from the mum-to-be's family warmly inviting guests to the gathering on 2 June. Although the venue has been kept under wraps, it is likely to be taking place outdoors given that the dress code is garden chic. 
The invitation card which suggests the couple might be welcoming a baby girl
It is thought that Kim will follow in the footsteps of sister Kourtney who both of her baby showers to celebrate the impending arrival of Mason Dash and Penelope Scotland in the grounds of her mum Kris Jenner and stepfather Bruce Jenner's Calabasas home. 

Hosting the party are Kim's mum and manager Kris, her two sister Kourtney and Khloe Kardashiana and Shelli Azoff who is the wife of music mogul Irving Azoff.

Beyonce and Black Eyed Peas' Fergie are among the invitees, according to US Magazine. 

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

GORGEOUS MARCHESA CLUTCHES & BAGS FOR FALL 2013.

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

CHEEKY RIHANNA WRAPS UP “POUR IT UP” VIDEO SHOOT.

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

POPE FRANCIS & THE 7 DIFFERENCES HE'S MADE IN ONE APPEARANCE.

The simplicity of the new pope is striking! Here are the:
7 DIFFERENCES POPE FRANCIS HAS MADE IN ONE APPEARANCE.

1. Changed the golden throne by a wooden chair... Something more appropriate for the disciple of a carpenter.
2. Did not want the gold-embroidered red stole, Heir of the Roman Empire, nor the red chasuble...
3. Uses same old black shoes, not the classic red.
4. Uses a metal cross, not of rubies and diamonds.
5. His papal ring is silver, not gold.
6. Uses the same black pants under the cassock, to remember that he is a another priest.

Have you discovered the 7th?

7. Removed the red carpet... He is not interested in fame and applause...

Credit to Mike

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

BALOZI KAMALA AWEKA SAHIHI HATI YA MAKUBALIANO NA SANEC.

Balozi wa Tanzania BANELUX na Jumuiya ya Ulaya Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiweka sahihi Hati ya Makubaliano na taasisi ya Uholanzi ya SANEC kwa ajili ya SANEC kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania BENELUX kutekeleza Sera ya Tanzania ya Diplomasia ya Uchumi. Kushoto ni Bwana Mark Agterdenbosch Meneja Mkuu wa SANEC. Uwekaji sahihi umefanyika leo The Hague Uholanzi.
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai yenye rangi ya taifa) akipeana mkono na Bwana Mark Agterdenborsh Meneje Mkuu wa SANEC baada ya uwekaji sahihi Hati ya Makubaliano ya kushirikiana kutekeleza sera ya Tanzania ya Diplomasia ya Uchumi. Shughuli ya uwekaji sahihi imefanyika leo, The Hague, Uholanzi.
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Mabalozi wa Ushirikiano kwa Manufaa ya Wote - Brussels  Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai) akimkabidhi  Ilani ya Ushirkiano kwa Manufaa ya Wote Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa Kibiashara Cha Jumuiya ya ulaya Bibi Sandra Gallina. Kulia kwa Bi. Sandra ni Dr. Mihela Smith Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Ushirikiano kwa Manufaa ya Wote (Smart Partnership). Mabalozi wa nchi za Afrika, Karibiani na Pacific na wadau wengine wamekutana leo Brussels, Ubelgiji kujiandaa kwa ajili ya Mkutano wa Ushikirikiano kwa Manufaa ya Wote utakaofanyika Dar es Salaa mwishoni mwa mwezi wa sita mwaka huu.

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

DIAMOND KUFANYA SHOW COMORO 22 JUNE 2013.

O my days sasa Diamond na hii English yake ameshabuliwaje na kushukiwaje kama mvua huko instagram uwiii watu wanahasira na Lugha. Hebu mtafuteni huko mcheki hiyo mvua inyao mshukia huko hahahahaha #okbye and by the way after broken yake mwenzetu kaambulia paper za ukweli (mshiko) huko Comoro.

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

DESIGNER SPOTLIGHT 'MALIHATH' BY KHADIJA.

African Print Super Wax Mini & Midi Skirt available for more info & to buy email Malihath@outlook.com 

African Print Super Wax Maxi Dress will be available soon.
#teammaendeleo

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

WOOLWICH KILLINGS: BRUTALLY ATTACKED & KILLED SOLDIER NAMED AS DRUMMER LEE RIGBY ,25.

The soldier hacked to death and beheaded by two Islamic terrorists in Woolwich yesterday has been named by the Ministry of Defence.

Drummer Lee Rigby, 25, from 2nd Battalion, Royal Regiment of Fusiliers, was mown down in a car before being brutally butchered with knives and meat cleavers in front of horrified witnesses in the brazen broad daylight attack.

Mr Rigby, from Crumpsall, Greater Manchester, was father to two-year-old son Jack with wife Rebecca, who he is believed to have been separated from.

Known to his friends as 'Riggers', he joined the army in 2006 and was selected to be a member of the Corps of Drums and posted to 2nd Battalion The Royal Regiment of Fusiliers, attached to the Regimental Recruiting Team in London.

He had served in Helmand province, Afghanistan, where he was a member of the Fire Support Group in Patrol Base Woqab.

A life-long Manchester United fan, he had also stood outside the Royal Palaces as part of his battalion's public duties commitment.

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

DIAMOND: AFUNGUKA NA KUTAJA HIZI SABABU ZA MAFANIKIO YAKE KIMUZIKI.

Mengi yamekuwa yakisemwa juu ya msanii ambae inaaminika ndiye mfalme wa muziki wa bongo fleva Wapo wanaosema anatumia nguvu za giza ikiwemo ushirikina na wapo wanaosema yuko powered na Imani ya Free mason.TEENTZ ilipiga story na Diamond na kueleza moja ya sababu kubwa why yuko juu na na kila siku ananendelea kuwa juu tofauti na baadhi ya wanamzki wengine
1-"Mungu ndio kila kitu kwa maisha ya binadamu,so napenda kumtanguliza Mungu kwa kila nikifanyacho".
2-"Sipendi starehe,kutumia pesa vibaya,naiheshimu sana pesa yangu,matumizi yake makubwa ni chakula,pengine mafuta kwa ajili ya gari matumizi mengine ya mhimu kwa binadamu na zaidi naitumia pesa yangu kufanya kitu kitakachoendelea kumantain muziki wangu"
3"-Sibani pesa kwenye swala la kujijenga kimziki,niko tayali nitumie milioni kadhaa kufanya kitu kitakachojenga status yangu vizuri,mfano kugharamikia mavazi ya shows n.k"
4-"Nampenda sana mama angu na pengine kuna thawabu ninazozipata kwa kitendo hicho"
Hizo ndizo reason chache alizotoa Diamond kuhusu yeye kuendelea kuwa on the pick na ni wazi kabisa ndani ya reason kama hizo ni binadamu wachache sana watakaoshindwa kufanay vizuri ama kupata maendeleo.

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

VIDEO MAUWAJI YA "ARMY OFFICER" WOOLWICH LONDON.

Tunaomba radhi kwa yoyote ambaye ataathirika na yaliyokuwemo kwenye Video hii,

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

ZANZIBAR: SHEHA WA TOMONDO AMWAGIWA TINDIKALI.

Sheha Mohammed Omary Said aliyemwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana akiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja Unguja akipatiwa matibabu, Sheikh Mohammed amepata maumivu makali sehemu za kifuwa na jicho kuumia
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Mukhadam Khamis,amesema chombo kilichotumika kumwagia tindikali Sheha huyo kilipatikana eneo la tukio na kwamba polisi imekichukua kwa kukichunguza kitaalam ili kugundua aliyekuwa akikitumia kwa kuangalia alama za vidole.Sheha huyo alimwagiwa tindikali jana usiku wakati alipotoka nje ya nyumba yake kuchota maji na ndipo mhalifu huyo alipomwagia tindikali na kwamba hakuweza kumtambua.
Sheha Mohammed Kidevu akiwa katika wodi ya Hospitali kuu ya Rufaa MnazoMmoja akipata matibabu ya majaraha ya kitu kinachosadikiwa kwa Tindi Kali,akipata matibabu hayo katika hospitali hiyo.

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

BALOZI MPYA WA COMORO MH. CHABAKA KILUMANGA TAYARI KWA KUANZA KAZI.

Mh. Chabaka Kilumanga mara baada ya kuapishwa tayari kwa kazi Comoro

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

TAMTHILIA: THE TEAM SEHEMU YA TANO NA YA SITA { EPISODE 5 & 6 }.

KESHO TUTAWALETEA SEHEMU YA SABA NA YA NANE 

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

NEY WA MITEGO AMTAMBULISHA MCHUMBA WAKE aka BABY MAMA WAKE 'SIWEMA'.

Siwema soon to be baby mama na mke wa msanii Ney wa Mitego
Kama unavyo ona ki baby bump cha Siwema ndo hicho kinachomoza taratibu. Pembeni akiwa na baba mtoto wake Ney wa Mitego
Wazazi watarajiwa wakiwa katika picha ya pamoja na Diamond Platnumz
Diamond huweziiiiiiiiii

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

JOKATE ATAMBULISHA KIPINDI CHA #KIDOTITIME MASHULENI.

Jumamosi iliyopita mwanadada Jokate Mwegelo ailikuwa kwao Songea vijijini kama mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa michezo ya Umisseta ngazi ya wilaya.  Pamoja na hayo Jokate alipata nafasi kutambulisha program ya #KidotiTime itakatoingizwa kwenye ratiba za shule takribani 27 kwa kuanzia. Program hii ni kusaidia wanafunzi kujitahidi darasani huku wakigundua na kuendeleza vipaji vyao vingine. Sengwile

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

SHULE ZA KATA ZAJIENDESHA KWA FEDHA ZA WALIMU WAKUU.

Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Rombo, Judethadeus Mboya
Mkuu wa Sekondari ya Tanya, Victus Kiwango
Mkuu Msaidizi wa Sekondari ya Nduweni, Venance Mramba
Na Thehabari.com, Rombo

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Wilaya ya Rombo kimesema shule nyingi za Sekondari za Kata wilaya hiyo na maeneo mengine nchini zinajiendesha kwa kutegemea fedha za mifukoni kwa walimu wakuu wanaoziongoza shule hizo. 

Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu wa CWT Wilaya ya Rombo, Erasmo Mwingira alipokuwa akifanya mahojiano na mwandishi wa habari hizi. Hata hivyo uchunguzi uliofanywa na gazeti hili hivi karibuni kwa kutembelea shule kadhaa za sekondari wilayani hapa umebaini kuwepo na mazingira magumu ya uendeshaji wa shule hizo kutokana na ugao wa fedha za uendeshaji shule hizo kutokuwa wa uhakika huku hata kiasi kinachozifikia hakitoshelezi gharama za uendeshaji.

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

MSIBA DMV NA TANZANIA.

Martin Ngireu Enzi ya Uhai Wake
Familia ya Ngireu inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa baba yao Martin Ngireu kilichotokea siku ya Jumanne May 21, 2013 katika Hospitali ya Holy Cross iliyopo Silver Spring, Maryland, nchini Marekani.

Mwili wa marehemu umehifadhiwa Donalson Funeral Home, iliyopo 313 Talbot Avenue, Laurel MD na kutakua na Misa na kumuaga marehemu siku ya Jumamosi May 25, 2013 kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 10 jioni (12-4pm) kwenye addres 313 Talbot Avenue, Laurel, MD baada ya hapo kutakua na chakula kwenye address 210 Patuxent Road, Laurel MD

Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu inafanywa na kama ilivyodesturi yetu kupena pole ndio ustaarabu wetu Msiba upo 210 Patuxent Road, Laurel MD kwapa pole watoto wa marehemu Carol na dada yake waliokuja kutoka Tanzania. Msiba huu ni wetu sote DMV tafadhali tujumuike na tuwafiriji wafiwa. Kushirikiana na kushikamana kwa shida na raha ndio staili na maisha yetu DMV.
Kwa maelezo na maelekezo tafadhali wasiliana na Mtoto wa Marehemu Carol 301 957 4523.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

HAPPY BIRTHDAY TO A SUPER FRIEND & BROTHER FRANK EYEMBE.

We pray this birthday, will warm your heart
And may God’s warmth not ever depart
For all year round and the years ahead,
May you find in friends, God’s love is shared.
Enjoy ur day & many more.
Much love
JG
xoxox

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

TWO MEN ARRESTED OVER WOOLWICH KILLINGS.

A major police investigation is underway in Woolwich after a knife attack and double shooting in the middle of a street, which is being treated as an act of terrorism.

Eyewitnesses have claimed that a man wearing a Help for Heroes t-shirt was attacked by two men armed with a machete-style knife among other weapons -  the pair were then shot by armed officers and are being treated in hospital.

Woolwich and Greenwich MP Nick Raynsford told LBC 97.3 it is his understanding that the deceased is a serving soldier.

In footage obtained by ITV one of the men was filmed wielding a bloodied meat cleaver and saying, "We swear by almighty Allah we will never stop fighting you."

The black man, dressed in a grey hooded jacket and black woolly hat, went on to apologise to those who witnessed the attack.

"We must fight them as they fight us. An eye for an eye, a tooth for a tooth," he is heard to say.

"I apologise that women have had to witness this today, but in our land our women have to see the same. You people will never be safe. Remove your government, they don't care about you." 

Commander Simon Letchford, speaking in Woolwich, said that officers were called out to reports of an assault in John Wilson Street at aound 2.20pm.

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Mixed Posts