Frank Akiwa Na Miss Nubian Uk 2010 wakati wa kampeni
Kikosi cha urban pulse kikiwa na spora pamoja na washiriki wa MISS Africa South Yorkshire 2010 ambao pia ni wawkilishi wa Malaria.

Urban Pulse Creative imepata fursa ya kukutana na wawakilishi wa Malaria Hapa Uk ambao pia ni washiriki na waandaji wa Miss Africa South Yorkshire pamoja na Miss Nubian UK ili kuunga mkono mchakato wa Urban Tour itakayo mshirikisha Diambond na Miss Ze Fyah Sis kutoka Urban Pulse ili kuchangia vita dhidi ya Malaria.
Tour hii imedhaniwa na Aset.
6th NOVEMBA
CLUB OPUS
Theatre Distric
Savoy Cresent
Milton Keynes MK9 5UP
12 NOVEMBA
THE CLUB
179 – 183 London Road
Croydon, London
CRO 2LR
27 NOVEMBA
PANAMA BAR
Gas ST
Birmingham
B1 2JT
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi 00 44 78655 94576 
or email
urbanpulsecreative@googlemail.com


Share on Google Plus

About JG Blog Team

FASHION & FASHIONISTAZ IS AN ONLINE EXPLOSION OF PERSONALITIES, EVENTS, TRENDS & TRENDSETTERS THAT SHAPE THE FASHION WORLD. DISHING THE LATEST IN FASHION FROM THE RUNWAYS, RED CARPETS & ALL THE WAY TO THE HIGH STREET. HERE YOU WILL FIND ALL THE GOSSIP ON TRENDSETTERS, FASHIONISTAS & FASHION DESIGNERS OUT THERE!!!! FASHION & FASHIONISTAZ IS ALL ABOUT YOU!!!!
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment