TASWIRA ZA NDOA YA DIDA MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA "MITIKISIKO YA PWANI"...!!!

Dida akikata keki, wakati mumewe akiwa tayari kwa zoezi la kulishana. 
 Bwana harusi akijiandaa kumlisha keki bibi harusi.
 Maharusi wakilishana keki

 Bwana na Bibi Harusi wakicheza mziki na wapambe wao kwa pembeni
 Dida akikabidhi keki ukweni
 Bwana harusi nae akikabidhi keki ukweni
Mambo ya mwambao! Isha Mashauzi akitoa burudani 
 Mzee Yusuf aka Mfalme akitoa burudani
 Wageni wakirusha roho na Mzee Yusuf
 Bi harusi akitambulisha ndugu zake kwa wageni
 Bwana harusi akichukuwa chakula
 Mahahrusi na wapambe wao wakiwa wameketi tayari kwa kupata msosi
Dida akimlisha mumewe!

HONGERA SANA DIDA NA TUNAWATAKIKA KILA LA KHERI KATIKA NDOA YENU. MUGU AWABARIKI AN KUIBARIKI NDOA YENU.

Picha hisani ya: GPL
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments/maoni:

  1. You have noted very interesting points ! ps decent site.

    ReplyDelete