WEMA SEPETU NA DIAMOND MAPENZI MOTO MOTO MPAKA KWENYE KAZI...!!!

 Mwanadada Wema Sepetu akimpa tafu mpenzi wake  mwanamuziki Diamond kwa kuimba naye jukwaani, wakati alipokuwa akiimba katika tamasha la Fiesta   kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo, ambapo mwanadada huyo ametisha na kushangiliwa sana na umati wa mashabiki waliokuwepo katika tamasha hilo lililohudhuriwa na mashabiki lukuki wa muziki wa Bongofleva, kama unavyomuona Diamond katika picha kama vile kasusa lakini wapi anamcheki mtoto wakati alipokuwa akiimba.
Hapa Diamond akimwimbia mpezi wake Wema Sepetu huku akiwa amepiga magoti katika kuonyesha heshima kubwa kwake kutokana na sapoti anayompa katika kazi zake. 
Picha hisani ya Michuzi Jr
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments/maoni:

  1. Erunsewer Anrielelin Payorieribaky [url=http://napechke.com]Senanamaso[/url] Kermgreetle http://napechke.com

    ReplyDelete