TASWIRA ZA KITCHEN PARTY YA MTANGAZAJI SAUDA MWILIMA...!!!

 Sauda akiingia ukumbini
 Mc Vero akiwa katika pose
 Mzee Yusufu akitumbwiza mambo ya 'Mpenzi Chocolate'

 Kajale ndani
 Bongo movie star Jacqueline Wolper akiwakilisha
 Chezea Bilal

aaaaaa Monalisa sijui ilikua kigele gele???
 Wamependezaje Dida & Wema
 Pamela na Isha Mashauzi (mambo ya colour of the year 2012)
 Dokii hiyo style ya nywele mmmm no comment akiwa katika pose na Imelda wa GPL
Maya & Davina 
 Pamela katika pose
 Mastar wa bongo movie Maya, Davina, Mainda & Cathy ndani 
 Wema wa 'Diamond' & Rehema
 Beautiful totoz Junaither & Kajala
Mambo ya chereko chereko na vifijo! Kapendezaje Sauda

Images via Dida Mitikisiko
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment