TWANGA PEPETA LIVE @ THE PIT STOP TONIGHT...!!!

THE PIT STOP Presents The AFRICAN STARS BAND.... TWANGA PEPETA.... Performing LIVE ndani ya UWANJA WA NYUMBANI....Kiota cha maraha. Leo JUMAPILI ya leo tarehe 4th DEC from 8pm mpaka majogoo... Njoo usugue visigino na kupepeta na WAZEE wa TWANGA... Show yao ya mwisho UK... Kiingilio £10 tu... Karibu Uwanja wa Nyumbani the best East African Cuisine in the UK. 
Address: 
Ripple rd/Renwick rd IG11 0SN... 
The SHIP N SHOVEL
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment