Ankal akiwa anapata msosi (nyama choma, ugal na kisamvu) ndani ya The Pit Stop 'Uwanja wa Nyumbani" pamoja Rahma wa Ubalozini, baby Iman na Wazee wa Wakazi 'Serengeti Freight' Mohsin & Chris Lukosi
Princess Iman na Uncle Michuzi!
Princess Iman, Mama Iman & aunt Rahma
Wazee wa Kazi na da Rahma wakipata msosi baada ya kazi! Menu imetulia si mchezo
Ankal, Princess Iman, Mama Iman & Rahma ndani ya 'Uwanja wa Nyumbani'
Ankal, Princess Iman, Mama Iman & Mzee wa Uwanja wa Nyumbani Abu katika pose
Wanalibenekeee walipokutana ni konoz tu
Rahma katika pose na Ankal
Ankal katika pose na vijana wa Uwanja wa Nyumbani na pia aliwashukuru sana kwa chakula kizuri sana. Nawe msomaji unakaribishwa upatapo nafasi
Wazee wa Kazi 'Serengeti Freight' katika pose na wana libeneke
Mohsin, Rahma, Ankal, Moi & Chris Lukosi
Mdau, Wazee wa Kazi na wanalibeneke ndani ya Uwanja wa Nyumbani'
---
Kwa muziki, burudani mbali na vyakula vya kinyumbani tembelea '
The Pit Stop' Uwanja wa Nyumbani
Ripple Road, Barking
IG11 0SN



0 comments/maoni:
Post a Comment