Loading...

HUYU NDIYE MPENZI MPYA WA DIAMOND PLATNUMS KWA HISANI YA MILLARDAYO.COM...!!!

Baada ya kuumiza watu vichwa kwa muda mrefu hatimaye hiki ndicho alichokiandika DIAMOND kwenye BlackBerry Messenger ambapo kwa idhini yake mwenyewe millardayo.com ilimwambia itaitumia.... 

Kulikua na stori kibao mtaani kwamba DIAMOND PLATNUMS yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mrembo JOKATE lakini bado ilikua haijathibitika, sasa hivi ndio kaamua kuweka wazi na habari ndo hiyooooooo. Tunawataki akila la heri wapendanao hawa.

Habari hii ni kwa hisani ya millardayo.com
Reactions: 
Relationship 3226765974839737511

Post a Comment

emo-but-icon

Home item

FOLLOW US ON INSTAGRAM

Instagram

WATCH CLOUDS TV LIVE

TIMES FM LIVE RADIO

E-FM LIVE RADIO