PICHA ZA AROBAINI YA MTOTO WA SAJUKI NA WASTARA...!!!

 Wasatara akiwa na mwanae na baadhi ya watoto walio hudhuria Maulid hiyo
 Sajuki akiwa amembeba mwanae
 Mashallah
 Irene Uwoya akiwa amempakata mtoto
Sajuki akiwa na wasanii Rachel, Odama na mtoto wake
 Baadhi ya wasani wakiwa wamembeba mtoto
 Maulid ikiendelea
 Wadu mbali mbali walijitokeza katika Maulid hiyo
Baadhi ya Bongo movie family katika picha ya pamoja na Sajuki, Wastara na mtoto wao.
Picha kwa hisani ya Raythegreatest & Odama 1 Blogs
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment