Loading...

PICHA ZA ELIZABETH MICHAEL 'LULU' ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI KISUTU LEO...!!!

 Mshatkiwa Elizabeth Michael (17), ' Lulu'  akielekea kupanda ngazi na kupandishwa Kizimbani Kesi hiyo  ilikuja kwa ajili ya kutajwa.  Upelelezi haujakamilika hiyo ni kwa mujibu wa Wakili wa Serikali Elizabeth Kaganda alisema mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo Rita Tarimo  hivyo kesi hiyo  itatajwa tena Mei 7 mwaka huu. Mtuhumiwa amerudishwa rumande.
  Akizindikizwa ndani ya chumba cha Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam leo
Mshtakiwa akipanda ngazi kuelekea Kizimbani ambako kesi yake ilitajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam huku akiwa katika ulinzi mkali kutoka kwa askari  Magereza, case hiyo itatajwa tena May 7, 2012. 
Lulu akiwa chini ya ulinzi mkali
Askari wakiwa na silaha tayari kwa lolote na wakidumisha ulizini mahakamani hapo.

Picha kwa hisani ya Khadija Kalili na Global Publishers
Reactions: 
Picha 848504824515304766

Post a Comment

  1. Ni mimba ama?eeh mungu mnusuru huyu mtoto dunia ilimuhadaa,na sijui itakuaje kama ni mjamzito

    ReplyDelete
  2. Nami nahisi km ni mjamzito,katumbo kametoka kabisa.

    ReplyDelete
  3. Ama kweli Tanzania haina Kiongozi msomi na anayefikiria hata mmoja wawe wa vyombo vya usalama wala serikali kuu. Tazama ujinga wanaoufanya Kalulu kanapewa ulinzi askari wote jiji zima la Dar. Hivi ni usalama tu au kanakimbia? Vyombo vya usalama ndo vinampaisha. Kwa usalama tu askari wawili wanaweza kumchukua Segerea katika gari la private na akifikishwa mahakamani askari wa mahakama wataimarisha ulinzi eneo hilo basi.

    ReplyDelete

emo-but-icon

Home item

FOLLOW US ON INSTAGRAM

Instagram

WATCH CLOUDS TV LIVE

TIMES FM LIVE RADIO

E-FM LIVE RADIO