PICHA ZA HARUSI YA MTANGAZAJI SAUDI MWILIMA NA KAULI JUMA 'BEST'...!!!

 Mtangazazi wa Star TV Sauda Mwilima na mumewe Kauli Juma 'Best' baada ya kufunga ndoa katika ukumbi wa Catch uliopo Mnazi mmoja jijini Dar es SalaamBaadaye kulifuatiwa na sherehe ktk ukumbi wa Msasani Beach
 
Mapenzi matamuuuu
 Maharusi wakiingia ukumbini
 New couple in town
 Kitu cha champagne kikimininwa na matron Dida wa G
 Mambo ya kunyweshana atii ndo ishara ya mapendo

 Mwanamke goti


 Wamependeza eeee
Wasimamizi walinogajeeeee ndani ya single button designed by Martin Kadinda ambaye alikuwa mmoja wa wasimamizi akiambatana na Ommy Dimpoz na Diamond.
---
Blog hii inapenda kuwapa hongera wanandoa hawa na kuwatakia maisha mema ya ndoa.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment