HAYA NDO MAGARI ANYAO MILIKI MSANII JACQUELINE WOLPER KWA SASA!!! ANATISHAJEEEE...!!!

The Bongo Star diva owing the luxury cars below
 Jackline akiwa na gari lake aina ya BMW X6 lenye thamani ya Sh. Milioni 170
 Pamoja na BMW X6 msanii huyo anasukuma pia kitu cha Harrier Lexus & apparently ndo linalotumika kupleka wadogo zake shule. Thamani yake ni Sh. milioni 25
 Hili ni Toyota Noah lenye thamani ya Sh. milioni 18 ni kwa ajili ya kikazi zaidi
Na ushaidi huu hapa.
"When ur big ur big!" Big up mwanadada Jacqueline.

Picha kwa hisani ya Global Publishers
Share on Google Plus

About Jestina George

  Blogger Comment
  Facebook Comment

13 comments/maoni:

 1. KEEP IT UP GIRL!!!
  FANYA UJENGE NA NYUMBA SASA.
  I LOVE IT!!! CONGRATS

  ReplyDelete
 2. ye mkaaaare sana kama dakitare yani tangu kareee, weka mjengo wake nao tuuthaminishe

  ReplyDelete
 3. BMW X6 yr of manufacture 1999!!!! any way kwa hisani ya magazeti ya udaku.

  ReplyDelete
 4. hongera sana wolper..umetishajeeee.

  ReplyDelete
 5. By the year 1999 like indicated on that logbook guaranteed BMW were on a concept of manufacturing 7 series and X6 started 2007 end. That Logbook is Fake!

  ReplyDelete
 6. mmmh...hata sijui watu wanapata faida gani kudanganya in issues like these,you dont have to force or convince people in what you are/have or dont have,it doesnt change who you really are jamani.....ona sasa eti BMW X6 made in 1999?!..this model was first made in 2008,what a shame!

  ReplyDelete
 7. tupa kule,X6 gani imetengenezwa 1999?halafu class ya X6 ni mid size luxury cross over,we mwenzetu X6 yako class ni light passenger vehicle...wadanganye wenzio huko mtaani

  ReplyDelete
 8. AND WHAT BMW COAST 250MIL, ESPECIALLY FOR THE YEAR 1999. THE NEW ONE CAN ONLY COAST BETWEEN 60 TO 80 MIL. SO THAT 250 MILLION SH, WAS A LIE. STOP LYING PEOPLE.

  ReplyDelete
 9. Nilijua nimeona mwenyewe kumbe wengi wana akili minus hao wanao toa hongera hapo juu. Fools x6 ya 1999 enzi hizo hata haikua concept car hata kiwanda kingekua cha baba yake. Hehee! Tuna danganywa kama watoto na ww mwenye website una post vitu bila kutumia hata akili kidogo tu.

  ReplyDelete
 10. It's not true, there's illegal business, both!

  ReplyDelete
 11. Haha ts gud wen people r smart biznitch kawadanganye kijijin nt mjini..
  chezea x6 eti made yr 1999 hahaha we aint fools.

  ReplyDelete
 12. yeye na diamond ni wanaabudu mashetani.

  ReplyDelete