VIDEO NA PICHA: MTOTO WA AJABU AZALIWA SONGEA TANZANIA, MZAZI AOMBA MSAADA WAKITAALAM...!!!

Huyu ndiye mtoto wa ajabu ambaye amezaliwa na viuongo vya ajabu zikiwemo shemu za siri kichwani.

Tahadari kwa picha zitakazo fuatia hapa chini: 
 Unacho ona kama kidole (picha ya juu kushoto) ni sehemu ya siri ya mwanaume na juu ya Paji la uso ni sehemu ya siri ya Mwanamke. Sehemu zingine mbili za jinsia tofauti ziko ambako sehemu za siri hukaa. Mtoto huyu amezaliwa  katika Hospitali ya Songea wiki iliyo pita, Hivi sasa watu wana miminika kwenda kumuona mtoto huyo wa ajabu katika hospitali ya Songea Mkoani Ruvuma.

Ifuatayo hapa chini ni habari kamili kuhusiana na mtoto huyu:

Mungu mkubwa!
Share on Google Plus

About Jestina George

  Blogger Comment
  Facebook Comment

13 comments/maoni:

 1. mwacheni MUNGU aitwe MUNGU kwa kweli

  ReplyDelete
 2. Haya kweli maajabu ya duni. Eheeeee mungu una majaribu lakini haya yote ni mapito nawatakia kila lakheri mtoto asaidiwe. Kwa upande wangu mie ningeomba afe kwani ni ngumu sana umlea. Sasa akikojoa au akinya inakuaje? Jamani mungu amchukue lol. That's my opinion

  ReplyDelete
 3. inawezekana alikua awe na pacha wake na hivyo viungo vya pacha vikaanza kujitokeza but somehow pacha wake uumbaji wake uka detriorate na hivyo izo organ kujipachika popote kulikobakia..inatokea sema tu huwa hatuskiii...SIO UCHAWI KM AMBAVYO WATU WENGINE WATAFIKIRIA

  ReplyDelete
 4. Mungi ni wa ajabu kweli!!! Ni kweli kama alivyosema mdau huyu alikuwa anapacha wake..yote ni majaribu ya mungu mwenyezi.

  ReplyDelete
 5. LAZIME TUU KUBALI MUNGU KUBWA. I BELIEVE ALIKUWA ANA PARASITIC TWINS WAKE OR MAY EVEN BE QUADRUPLET WAZALIWE LAKINI WALIKUWA INCOPMLETE AS THE ONE ABOVE ME SAID IT. THIS IS VERY SAD TO CARRY A CHILD FOR ALMOST TEN MONTHS AND ONLY TO BE SURPRISED WITH A BABY WHOSE DEFORMED AND MUTLIPLE SEX GENEITALS SAD. WABONGO WA UK TUNAFANYA NN KM TATIZO KM HILI LIMETOKEA KWA MBONGO MWENEZETU LAZIMA NIANZISHE DONATION JAMANI KU SUPPRT THIS FAMILY TUWE NA UMOJA HIKI KITU NI CHA KUSHTUWA ULIMWENGU. JESTINA ANZISHA DONATION OR SUMKIND OF FUNDING JAMANI TUMSAIDIE HUYU MTOTO KWA NJIA YOYOTE ITS SAD.

  ReplyDelete
 6. BINADAMU TUNA ROHO NGUMU UTA OMBAJE MTOTO AFE YES ITS UR OPINION LAKINI CUM ON ARE U THAT BITTER. MUNGU AJAMTAKA KIUMBE CHAKE. NAUSIMUOMBE MTOTO WA WATU MABAYA AFE ZAA WAKO NDO USEME AFE. NATHANI UJUWI UCHUNGU WA MTOTO BADO, ATA UZAE NYOKA NI WAKO!!!

  ReplyDelete
 7. Mungu ni mkubwa anaonyesha uwezo wake juu ya wanaadamu na maovi yapungue lakin binaadam bado hatuskii

  ReplyDelete
 8. HUYU JAMAA ANA ROHO MBAYA MPAKA HATUA YA KUOMBEA MTOTO AFE LO!

  ReplyDelete
 9. kumbuka kuwa wewe unae sema bora afe si mwema sana mbele za mungu cha msingi na mbolea tumuombee huyu mama mungu ampe moyo mkuu wa kuvumilia jambo hili coz kubeba mimba si mchezo uchungu hali kadhalika na kuzaa pia

  ReplyDelete
 10. Jestina, habari dada! Any updates kuhusu huyu mtoto jamani? Mungu amsaidie!

  ReplyDelete
 11. In ajabu sana lakini ruvuma ni moja kati ya mikoa ambayo inasadikika kuwa na madin ya URANIUM ambayo mionzi yake ni hatari wakati ukuaji wa kiumbe kikiwa tumboni kwa mama.. Hebu watalaam wacheck na hali ya mazingira aliyotoka mama mazazi.. Laa sivyo basi eneo lote kuna uwezekano wa viumbe aina hiyo kuendelea kuzaliwa. Wataaalam wa uranium hebu angalieni huyo mutation...

  ReplyDelete
 12. Ugonjwa huo unaitwa Congenital Malformation.

  ReplyDelete