BONGO CELEBRITIES JACQUILINE WOLPER NA WEMA SEPETU KULIKONI...???

 • Yasemekeana Jacqueline Wolper amenyang'anywa gari lake aina ya x6
 • Mmiliki halali wa nyumba ya Wema Sepetu ajulikana!!!!

Kuna tetesi kwamba mwigizaji kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyang’anywa gari lake la kifahari aliokuwa akitanua nalo katika mitaa ya mbalimbali ya jiji la Bongo. Habari zinadai kwamba Jacqueline amenyang'anywa gari lake aina ya X6 na mchumba wake baada ya kubaini kwamba anamcheat na mwanaume mwingine ambaye ni mfanya biashara maarufu jijini Dar.

Wakati huo huo kuna habari kwamba nyumba ambayo mrembo Wema Sepetu amekuwa akidai kuimiliki yenye thamani ya Tshs milliion 400 si yake bali ni ya muarabau mmoja ane julikana kwa jina la Ahmed amabye inasemekana yuko safarini Brazili kwa shughuli zake za kibiashara.Share on Google Plus

About Jestina George

  Blogger Comment
  Facebook Comment

4 comments/maoni:

 1. Duh! Hawa madada wana matatizo mambo ya kizamani kujishoo kwa vitu ambavyo si vyako unapata faida gani?

  ReplyDelete
 2. Hahahahaha. Nawasaidia kuona aibu

  ReplyDelete
 3. anony 18 june 2012 15:25 kula tano wadada wa mjini wana mambo ya hovyo sana wema kununua ile nyumba bila kuwa na source ya money ya kueleweka wala haiji kabisa wamechemka they have to be expensive ili waishi expensive wajipange vzr!

  ReplyDelete