CASE YA ELIZABETH 'LULU' MICHAEL YAENDELEA KUPIGWA DANADANA...!!!

Lulu (katikati ya askari, mbele) akipelekwa kizimbani leo.
---
Kesi ya mauaji inayomkabili msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth 'Lulu' Michael, jana ilifika tena, Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu Jijini Dar es Salaam ambapo upande wa mashitaka ulisema upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika hivyo kesi hiyo kuahirishwa mpaka Juni 18 mwaka huu.
Source: GPL
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment