Loading...

CATHERINE MASUMBIGANA AIBUKA MSHINDI REDDS MISS CHANG'OMBE 2012...!!!

Redds Miss Chang’ombe 2012, Catherine Masumbigana 21, (katikati) akipunga mkono mara baada ya kusimikwa rasmi kuwa mshindi wa taji hilo. Kulia ni mmshindi wa pili, Jesca Haule (18) na Mshindi wa tatu Zulfa Bundala. Masumbigana aliwashinda warembo wengine 13 katika shindano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Quality Center jijini Dar es Salaam Juni 10, 2012.
 Tano bora ya Miss Chang’ombe 2012 ambao wote wamepata tiketi ya kushiriki shindano la Miss Temeke 2012 wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka Kushoto ni Zulfa Bundala (21), Jesca Haule (18), Catherine Masumbigana (21), Miriam Nkisigwa (20) na Flora Kazungu.
 Warembo wakicheza show maalum ya ufunguzi 
Picha zaidi FATHER KIDEVU BLOG
Reactions: 

Post a Comment

emo-but-icon

Home item

FOLLOW US ON INSTAGRAM

Instagram

WATCH CLOUDS TV LIVE

TIMES FM LIVE RADIO

E-FM LIVE RADIO