HII NDO NYUMBA ANAYO MILIKI MREMBO WEMA SEPETU YENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 400...!!!

TV Room
The lounge

Her Bedroom 
Chumbani kuna dressing table mbili, kiti cha massage na mini saloon chezeaaa
Ndani ya nyumba yake kuna sehemu maalum ya kufanyia interviews kama anavyo onekana hapo akiwa kwenye hilo eneo akifanyiwa interview na Zamaradi wa Clouds TV
Mini bar

Dinning room


Sehemu ya interview inavyo onekana. Pazuri eeee???
 Wema akiwa amechill nyumbani kwake



 I kind of like the animal print inspired interior deco & theme she's picked. Would have been a bit brighter though, that's just me thinking out loud but it's all good. Wema is living her dream as any other star would. Big up to her & her Manager Martin Kadinda who's making sure everything goes as planned for Wema.

BEAUTIFUL CRIB!!!

Image credit: Mvuto Kwanza/Martin Kadinda
Share on Google Plus

About Jestina George

  Blogger Comment
  Facebook Comment

10 comments/maoni:

 1. Sasa dada huyu anakazi gani ya kuweza kuyamudu maisha haya jamani. Tina hebu tuulizie huko

  ReplyDelete
 2. Mmmmh Bongo hamna movie inayo ingiza pesa namna hii mpaka huyu dada akaweza nunua nyumba ya shng mil 400 nakataa kabisa unless ana agenda ambazo hazifahamiki otherwise kapewa na bwana as usual alafu bdae anaumbuka na kusema chake. Kwanza nyumba haina rangi pia makorokoro meeeengi mno.

  ReplyDelete
 3. Mmmmh Bongo hamna movie inayo ingiza pesa namna hii mpaka huyu dada akaweza nunua nyumba ya shng mil 400 nakataa kabisa unless ana agenda ambazo hazifahamiki otherwise kapewa na bwana as usual alafu bdae anaumbuka na kusema chake. Kwanza nyumba haina rangi pia makorokoro meeeengi mno.

  ReplyDelete
 4. Mmmmh Bongo hamna movie inayo ingiza pesa namna hii mpaka huyu dada akaweza nunua nyumba ya shng mil 400 nakataa kabisa unless ana agenda ambazo hazifahamiki otherwise kapewa na bwana as usual alafu bdae anaumbuka na kusema chake. Kwanza nyumba haina rangi pia makorokoro meeeengi mno.

  ReplyDelete
 5. nyumba ya milioni 400 ninge jenga mbili za maana maana umejaa uchafu tu na vitu vya mitumba walivyo tupa wazungu.kama ana cash kwanini asiweke vitu vya maana.ujenge nyumba ya thamani alafu uweke uchafu yakupewa hiyo.

  ReplyDelete
 6. jamani kuna watu wanawivu wivu utawaua...we kauze upewe basi kama hata itanunuliwa, hao ma anonymous wote wawili wa juu mnasema vitu vya mtumba wakati bongo siku hizi ukitaka kupamba nyumba yako unaweza pata kila kitu ndani ya siku moja..tatizo unaenda soko la mwananyamala tu, tembea uone, hakuna linaloshindikana.

  ReplyDelete
 7. binadhamu tuna roho mbaya all i have to say keep it up wema unatu inspire vijana. mijitu mingine imekaa ulaya ata kibanda cha cho hawana, wema ni mzuri analipa kwa kila kitu nenda kangarishe nyota yako na acha wivu mkimsifia mungu atapokea dua zenu lakini roho mbaya zimewanganda. maneno hayo mwambieni mama ake cha motot mta kiona wapi. chezea mariam sepetu

  ReplyDelete
 8. wakuace zako kama Mungu alikuchekea akakupa bahati waace waseme!!!! watu duniani ni hivo tu!! wee uchungane na maisha yako na ambapo utaenda baadaye!! Mungu akubariki kabisa!!

  ReplyDelete
 9. wadada tuige mazuli kwa mwenzetu cio kaz ya kuponda.tuwe na wivu wa maendeleo.kila la kheri wema fanya kazi dada

  ReplyDelete