Thursday, 28 June 2012

KARIBU KWENYE MAONYESHO YA 36 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DARE SALAAM KWA UDHAMINI WA VODACOM TANZANIA...!!!

Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu(kulia) akimuonesha  Afisa Udhamini na Matukio wa Kampuni hiyo  Ibrahim Kaude,simu ya mkononi  aina ya ZTE s502 yenye Radio na Michezo inayouzwa kwa Tsh 13,000 ikiwa na muda wa maongezi ya Tsh 6,000 ukitaka kupata simu hizo fika katika mabanda ya Vodacom yaliyopo katika viwanja vya maonesho ya 36 ya Biashara Kimataifa(Sabasaba) 
 Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania mwaka huu ni wadhamini Wakuu  ambao wataratibu habari na Mawasiliano katika Maonesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa  ya Dar es Salaam, hivyo wananchi wote wanatangaziwa kufika katika Viwanja vya maonesho hayo,kujione na kupata huduma bora  katika viwanja hivyo.
   Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiandaa mabanda katika viwanja vya maonesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam,ambapo wateja watajipatia huduma mbalimbali pamoja na simu ya mkononi  aina ya ZTE s502 yenye Radio na Michezo inayouzwa kwa Tsh 13,000 ikiwa pamoja na  muda wa maongezi ya Tsh 6,000.

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

0 comments/maoni:

Post a Comment

Toa maoni yako kwa uhuru na tafadhali naomba usichafue hali ya hewa humu ndani wala kujeruhi hisia za mtu au watu. (Let's please maintain a high level of discipline! Zero tolerance policy on abussive language!) Asante na karibu sana.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Mixed Posts