UZINDUZI WA MOVIE YA WEMA SEPETU "SUPER STAR" WAFANA...!!!

Mwigizaji Wema Sepetu akiongea machache wakati wa uzinduzi wa filamu yake ya 'Super Star' iliyozinduliwa kwenye hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es Salaam 23 June 2012.
 Kitu cha Super Star live kwenye big screen
Wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi wa filamu hiyo 
 Mashosti Wema & Snura wakifuatilia movie hiyo

 Jackie Cliff, Kimora, Belina na wageni wengine katika uzinduzi wa filamu ya Super Star
 Mwanamziki Shaa akifanya makamuzi
 Watu wakirusha roho
Watu full kujiachia

Image credit: Musa Mteja (GPL)
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments/maoni:

  1. Jamani mbona Mange simwoni kwenye hizo picha?!

    ReplyDelete