VIDEO: TAKE ONE WITH WEMA SEPETU, MAMA YAKE NA SNURA...!!!

"Wema katengenezwa na ameisha kuwa!"
Katika kipindi cha Take One kinacho rushwa na kituo cha Clouds TV, Wema na Snura waongelea kuhusu urafiki wao na Mama Wema afunguka kuhusu mwanae na kutoa onyo kwa magazeti ya 'Udaku' yanyo mchafua mwanae kwamba ata kula nao sahani moja na kuwachukulia hatua za kisheria endapo watazidi kumchafua binti yake huyo.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments/maoni:

  1. wow Wema mom she's ain't joke!very nice mom and I believe what she said is very true!I real luv her.

    ReplyDelete