HARUSI YA RAYA REGINA SAID & TERENCE WALKER YAFANA READING JUMAMOSI, JULY 7 2012...!!!

Service: St Peters Church Caversham Reading
Reception: Hilton Reading
Colour Code: Black & White

Maharusi wakitia sahihi cheti cha ndoa
Maharusi wakitoka kanisani baada ya kufunga ndoa
 Wapendanao
 Habari ndo hiyo!!! Bwana na bibi Harusi wakiwa na furaha
 Mr & Mrs Walker
Mr & Mrs Walker wakiwa katika pose mara baad ya kufunga ndoa
Bibi harusi akiwa na kaka yake Alan Kalinga 
 Picha ya pamoja na baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki baada ya kufunga ndoa
 Bwana na bibi Harusi ndani ya Rolls Royce Phantom 
Champagne ikifunguliwa
Cheeeeeeeeeeerrrrrrrrssss 
 Maharusi wakiwa wanakata keki
Bwana Harusi Terry akiongea machache
Mr & Mrs Allan Kalinga wakipata msosi
Mwenyekiti wa kamati Mr Upete akikabidhi zawadi kwa niaba ya kamati ya maandalizi

Maharusi wakifungua mziki

Urban Pulse wakishirikiana na Jestina George Blog wanakuleta taswira ya harusi ya Bwana Terry Na Bi Regina iliyofanyika siku ya jumamosi tarehe 7.7.12 katika mji wa Reading hapa Uingereza. Harusi hii ilipendeza sana na kukuhudhuriwa na wadau kutoka sehemu mbalimbali.

Tunawatakia maharusi kila la kheri katika safari yao  mpya walioanza leo, Mungu awabariki,

Asanteni, 
Urban Pulse & Jestina George Blog
Kaka zetu wametokeleza si mchezo
Fine babes
Warembo wakiwakilisha
Moi & my ndugu looking fine
Lovely couple
Mambo yalikuwa black & white tu
Wageni waalikwa
Theresa, her hubby & a friend

Elijah, Mr & Mrs Dello na mamdogo
Mrs Chisumo, Irene & hubby
Isaac & wife
Neema on point
Mr & Mrs Urio & Hellen
Warembo ndani ya nyumba
My kaka akiwakilisha
My ndugu weeeeeeeeeeeeeeee
Sister sister
Kazi na dawa. Frank & Henry wakipata menu

Moi & Lucy
Mina
MC
3rd born wa bi harusi Cathleen 
2nd born wa bi harusi Kelvin
Mtoto wa kwanza wa Bi harusi Collin
Wasimamizi wa harusi wakiwa wamepose
Dj wetu huyooooooooo
Mambo ya menu si mchezo
Moi & Mina
Moi & Lucy
Laura & Maryam White

Kaka wa bi Harusi akiongea machache! 
Shughuli ikiendelea


Mtoto wa bi Harusi akiongea machache
Bi harusi akifurahia maneno ya mwanae
awww mama na mwana time
Bwana harusi akiongea machache
So I ask all the men to return the keysssssss hahahaha 
Wageni waaikwa wakisikiliza speech
Speech ikiendelea
Mrs Walker akimuangalia mume wake kwa mahaba wakati anatoa speech na kuelezea ni jinsi gani ana furaha kupata mke mzuri kama Raya
Groom giving his speech man it was one of the funniest speeches I've heard to date gosh Terry cracked us up so much.
Best man giving his speech
Shughuli ya kukata keki ikiendelea

Cake ya ukwee'
The Walkers wkisubiria watu watu kuwapa mkono wa hongera
Rose


Lucy
Agrey
Mr. Alan Kalinga kaka wa bi harusi on point
Francia nae alikuwepo

Mashallah my ndugu alitokelezajeeeeeeeeee
Peace bro
My ndugu akiwakilisha na hana mpinzani.....
Watu weweeeeeeeeeeeeeeee
hapo chachaaaaaaaaaaaaa
uwiiiiiiiiiii hapana chezea bongo totoz
Endless love..... this was the first danceeee


Faith with her partner
The groom with the Nasibu's
Kila mtu na demu wake... mwanamke jicho 
Muke ya mkenya kapendezajeeeeeeee!!! hawttt hawtt
Moi & Kelvin

I just love this!! Kevin & his mum just adorable
Moi & Mrs Walker
Richie DJ ndaniiiiiiiiii
Mama Imannnn reppin'

Fierceeeeeeee
Mrs Walker with her maid of honour looking fine

Mama na mwana wamependezaje


Manjau, Kevin & Moi
Mr & Mrs Nasibu with Mrs Walker
Family affair
Bi harusi na wanae how lovely

Sister sister
Beautiful dress!!!
Neema katokeleza hatari
Neema & Manaju rocking the red carpet

Beautiful ladies
Rehema, Mony, Manjau, Isha & Salum

Mr & Mrs Upete with Salome
Mina & Salome

Titus, Manjau & Issa. Mambo ya red carpet si mchezo
Mrs Nasibu & Issa
Mama Nasibu na watoto walio sindikiza maharusi
Moi & Manjau

Family affair
Mrs Agrey, Manjau & Hellen wamependezaje
Fine babes
Watu wangu Mina, Manjau & Lucy full kutokelezana shem wangu paleeee kwa nyuma.
Mwenyekiti wa kamati ya harusi Mr. Upete akiwa katika pose kwenye zulia jekundu
Bi harusi, msimamizi wake na mwanae Kelvin
Chezea mama Malcom aka Khadija aka my ndugu. Kila kitu mahala pakeeeeeeeeeeeee
My ndugu anatufunguia ukurusa katokelezajeeeeeeeeee!!!!
Picha zote kwa hisani ya Urban Pulse na Jestina George Blog Blog
Share on Google Plus

About Jestina George

  Blogger Comment
  Facebook Comment

8 comments/maoni:

 1. Mma malcom umepedeza sana, Da Fith duuh umenimaliza, Harusi imependeza sana tena sana

  ReplyDelete
 2. Jamani, tunawashukru sana na kuwapongeza walioandaa na kusimamia harusi hii, tumekula, tumekunywa, tumecheza na kufurahi sana. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha bibi na bwana harusi.

  ReplyDelete
 3. hongera zao maharusi, waalikwa wote wamependeza maharus wana sura zilizojaa tabasam kuashiria wamependana hasa..jestina asante kwa picha na sie wabongo tumeona ila naomba kuuliza bi harus ni mbongo au muhindi?

  ReplyDelete
 4. jamani tulienjoy sana ..kitu hilton hotel.. sio kwenye vijiholy halafu card mnabania utadhani hela mfyuuuuu

  hii ndo harusi bwana ingine copy tuu habari ndo hio
  full swagga black and white maharusi mwake mwake

  ReplyDelete
 5. as usual wadada wa kibongo kuolewa na vibabu loooohhh

  ReplyDelete
 6. Unapozungumzia harusi, hii kweli ilikuwa harusi ya nguvu na uhakika. Misosi safi, madhali safi yaani kweli maharusi mungu awabariki sana na tumefurahi kweli kweli.

  ReplyDelete
 7. Mlitoka mbaya!hongera Regina from Happy

  ReplyDelete
 8. hongereni jamani

  ReplyDelete