INAHUSU???

Machangu wamekiona cha mtemakuni! Wakati Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ukiwa katika chungu cha nane, akina dada wanaofanya biashara haramu ya kuuza miili maarufu kama Machangudoa au Chipsi Funga au Wauza Sukari Tamu, wamekula viboko laivu baada ya kutuhumiwa kuwatega Waislamu.
Tukio hilo lilijiri katikati ya wiki hii ambapo vijana wa Kiislamu waliodai ni wa kikundi cha Jumuiya ya Uamsho Tanzania Bara walizunguka mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na kuwashushia fimbo machangu ambao kwa sasa wametapakaa kila kona jijini.

Je hii ni haki na inahusu???

Chanzo: Global Publishers
Share on Google Plus

About Jestina George

  Blogger Comment
  Facebook Comment

14 comments/maoni:

 1. weje hawa wajichukulie sheria mkononi kwani wao nani? Huo mwezi mtukufu mbona wanaulazimisha kwa kila mtu kwani Tanzania ni nchi ya kiisalam. Hebu waendee zao huko na unafiki wao.

  ReplyDelete
  Replies
  1. NA WANAOBAKA WATOTO KANISANI JE? WAO SIO WANAFIKI??

   Delete
 2. Hawa wakiwa hawajafunga ndo kutwa wanawatafuta hao madada poa sasa leo hii iweje wawachape viboko? Sheira za nchi yetu uozo mtupu

  ReplyDelete
 3. Khaa! Naamini kabisa biashara ya kuuza hekalu la Mungu sio haki! Lakini sie ni binadamu hatuna haki ya kuhukumu wengine!! na hao Waislamu mbona wanataka kunyima watu raha sasa? kwani mwezi mtukufu ndo kila mtu afuate maadili yao, waache watu waishi watakavyo mwezi mtukufu hamuhusu kila Mtanzania naona kama imekuwa kero sasa!!! sio tukio hilo tu, naona hata Facebook wanakera watu na status zao!!

  ReplyDelete
 4. Thats so unfair! haijalishi wanafanya biashara gani, mtu huwezi tu kujichukulia hatua na kuaanza kuchapa watu viboko kisa "mwezi wa ramadhani" kwanza mie naona huo ni unafiki mkubwa kwanini wasiwachape viboko wakati woote mpaka wasubirie mwezi wa ramadhani tu?? ndo hao hao wanafanya matendo haramu mwaka mzima ikifika ramadhani wanajidai watakatifu !! Huo ni unafiki mkubwa hata Mungu hapendiiiiiii!

  ReplyDelete
 5. waacheni wadada wa watu, kwani changu ni jina tu.kwani mnataka wale wapi? nini? kama wewe mtu wa dini hautabadilika eti sababu changu wamezagaa. jamani wasaidieni ao changusamaki kwa kuwapa semina/kozi na kuwapa ajira muone kama watakaa barabarani. shida izo mwataka wafe njaa? bora hawaibi. wakupigwa ni hao wanao paki magari na kuwafuata. poleni samaki changu tafuteni kazi halali muepuke shari na magonjwa kueneza. asanteni.

  ReplyDelete
 6. Bwahahahahaha

  ReplyDelete
 7. Kwa kweli hata mimi nimesikitika,yani na sura zao zinaonekana lkn hawajawa arrested wala nini,TZ hakuna sheria jamani,unamuadhibu vipi mtu kwa kitu alichoamua kufanya mwenyewe na kwa maisha yake mwenyewe kwa kisingizio cha mwezi mtukufu,Bwana anisamehe nawachukia waislamu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. So do we , who said ur loved mxxxxx

   Delete
  2. WEWE UNATUCHUKIA LAKINI MWENYEZIMUNGU ANATUPENDA..

   Delete
  3. AKUSAMEI NG'O WEWE NI KUNI ZA MOTONI MWANZO MWISHO!!

   Delete
 8. ni vipi wale wanojichukilia sheria mkononi pale wanapoamua kuua wezi?????

  ReplyDelete
 9. Kwahiyo kwa waislamu kufanya dhambi kipindi ambacho si cha ramadhai Ruksa?Mungu yupi huyo wanaomtumikia?

  ReplyDelete
 10. Tanzania hatutafika mbali na mambo ya udini. Everyone want to control others. Let's get together before it's too late:-(

  ReplyDelete