KAMPUNI YA SIMU ZA MIKONONI YA TIGO YAKUTANA NA MABLOGGERS KWAAJILI YA KUFAHAMIANA NAO NA KUWEZA KUFANYA NAO KAZI PAMOJA...!!!

Mtaalamu wa Habari za Mitandao wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Tigo Bi. Sameera Baamar katikati akipata Maelezo mbalimbali kutoka kwa Mmiliki wa Blog ya Burudan Mwanzo Mwisho Rajabu Mhamila Super D na Mmiliki wa Blog ya Viwanjani Amri Massare wakati wa hafla iliyowakutanisha bloggers.
Baadhi ya bloggers wakiwa katika picha ya pamoja na mtaalamu wa habari za mitandao kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Bi Samira Baamar katika hafla iliyoandaliwa na Tigo
Daaa picha ipo poaa si mchezoooo ni baazi ya ma bloge wakiangalia picha walizokuwa wamepiga
Mtaalamu wa Habari za MItandaoni wa Kampuni ya Simu ya Tigo Bi Sameera Bamaar akitoa neno fupi kabla ya hafla iliyowakutanisha bloggers kuanza. 
Mmiliki wa Mtandao wa Lukaza Blog, Josephat Lukaza alipokua akijitambulisha wakati wa hafla iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mikononi ya tigo ambao ndio walikua waandaaji wa hafla hiyo iliyowakutanisha mabloggers ili kuweza kufahamiana nao na kuweza kufanya nao kazi pamoja. 
 Meneja wa Huduma za Internet wa Tigo Titus (Aliyenyanyua mikono). Alipokua akitoa maelekezo na ufafanuzi juu ya huduma yao mpya ya Tigo Internet Mega Boksi inavyofanya kazi.
Mtaalamu wa Habari za Mtandaoni wa Tigo Bi Sameera Bamaar akifurahi jambo wakati wa hafla fupi tu iliyowakutanisha bloggers, hafla iliyoandaliwa na Kampuni ya Simu ya TIgo
Mmiliki wa Blog ya Kajunason Blog Cathbert Angelo akiwa bize kurusha matukio live kwa muda huo
Baadhi ya Bloggers waliohudhuria hafla hiyo iliyoandaliwa na Kampuni ya Simu ya Tigo iliyofanyika hotel ya Kebbys hotel jana
Mwendeshaji wa Blog ya Mtaa Kwa Mtaa wa kwanza Kushoto Othman Michuzi akiwa katika Picha ya Pamoja na Mwendeshaji wa Blog ya Missie Popular Mariam na Seif Kabelele
Mmiliki wa Mtandao wa Lukaza Blog, Mh Josephat Lukaza (Wa Kwanza Kulia) akiwa katika Picha ya Pamoja na Mtaalamu wa Habari za Mitandaoni wa Tigo Bi Samira Bamaar (Katikati) na Mwakilishi kutoka Mtandao Wa Mjengwa Blog katika hafla iliyofanyika jana kebbys hotel

Wanamitandao wakiwa kazini kutoka kulia walioshika Camera ni Josephat Lukaza wa Lukaza blog, Zainul Nzige wa Mo Blog na Rajabu Mhamila  Super D wa Burudanblog wakiwajibika katika hafla iliyofanyika Kebbys Hotel jana

Juzi Majira ya saa 1 usiku hadi saa nne, bloggers mbalimbali walikuwa Kebbys Hotel kwa mwaliko wa Tigo kwa ajili ya kufahamiana na kuona namna wanavyoweza kufanya kazi pamoja.offer kadhaa zimetolewa kwa kupewa line zenye vifurushi vya kutumia bure kwa mwezi mzima.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment