MWAJABU'S BAGGY PARTY YAFANA HUKO LEICESTER...!!!

 Mama shuguli 'Mwajabu' akikaribisha wageni
 Mtu na wifi yake wamependezaje
Wadada wa ukwee' Farida, Halima, Khadija & Mwajabu
Moi & my shosti Khadija full kutokeleza (dira designed by Khadija) 


 Mashosti wa ukwee' Mwajabu & Saida
 Mambo ya mduara
 Watu full kurusha roho

 Tenaaaaa

 Mama shughuli akifurhia shughuli
 Mama Iman huyoooo kwa raha zangu
 Hapo sasa kama mngekuwepo vile mjionee mambo
 party ilinogajeee
 Hakunaga mtu na shoti wake wa ukwee'
 Halima & Khadija full kutokeleza


 The cake
 Ujumbe ndo huo
 Mtu na wifi yake waki kata cake
 Madira ya ukwee' designed by my shosti Khadija
 Nilishe nikulishe ishara ya upendo
 tenaaaaa

 Mama na mwana
Beautiful mother & daughter
Kikazi zaidi nikikaribisha watoa zawadi
Mama shughuli akisubiria zawadi 
 Mijizawadi kutoka kwa wifi si mchezo
 Aliingia kwa style yake 
 Chezeaaa my shosti

 Asanteeeeeeeeee
Hapo chacha 
Hii nguo si mchezo baada ya harusi mtaiona live stay tuned 
 Shosti wa mama shuguli nae alitoka na sanduku lake
 Yap
Shosti mtu akitunzwa rahaaa
 Asha baada ya kukabidhi zawadi
 My sister Jalia akikabidhi vyake Mwanamke jicho bibi mambo ya Halima
 Halima wa ukwee'
 Mashoti wa ukwee' Mwajabu & Saida
 Aunty Aisha akikabidhi zawadi zake
 Mambo ya aunty Aisha hayoooo
 Beautiful people

 Baadhi ya wageni waalikwa

 Dira's designed by Khadija chezeaaa yeye
 Tumetokelezaje
 Beautiful people

 Mashallah
 Gorgeous Aisha & Halima


 Batuli, Nasra & Mama shughuli Mwajabu
 Vyakula vilikuwa vitamu hatari
Vitumbua, mishikaki, sambusa 
 Bajia, katlesi, kuku
 Kachori, mihogo
 Plantain na kachumbari
 Mama shughuli mashallah
 Msosi ukishuka

 Mashallah da Saida

Beautiful Leila


Beautiful Khadija 
Farida katika pose 
Beautiful people Moi, Mwajabu & Khadija 
 Mashallah Halima alipendeza sana
Mtu na shoti wake full kuwakilisha 
 Ma wifi wa ukwee leila & Khadija
 Beautiful beautiful beautiful mama T
Mama shughuli full kutokeleza
Wageni wote walio fanya shughuli ifane ndo hawa na walipendeza sana.

Share on Google Plus

About Jestina George

  Blogger Comment
  Facebook Comment

3 comments/maoni:

 1. that was very simple and nice baggy party ever happen yaaani watu wamependeza kupita maelezo.thanks.

  ReplyDelete
 2. Full raha asante sana my sis tulichangamka sana kila la kheri kwa maharusi siku ikifika inshaallah tulitesaje hahahaa raha jipe mwenyewe ukisubiri kupewa jua linatua oryaaaaa

  ReplyDelete
 3. Mlipendeza sana

  ReplyDelete