Sunday, 15 July 2012

PICTURES & VIDEO: AMIR KHAN LOSSES TO DANNY GARCIA @ THE 4TH ROUND...!!!

Garcia keeps his WBC light-welterweight title and claim his opponent's WBA belt.

WBC World Champion
Hiyo punch ilikuwa sii mchezo Khan aliona nyota zote live
 Hapooooooooooo mpaka chini
 Mtu flattttttttttttt
 Maskini bado kizunguzungu eeeee
Hapo sasa cha mwishoooooooo
Kwisha habari yake full kizunguzunguuuuuuuuuuu

Check out the video below:

Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs

1 comments/maoni:

Superd Boxing Coach said...

SI MCHEZO UPO JUU MKUBWA ONGERA TUPO PAMOJA KWA HABARI MOTO MOTO LA MICHEZO

Post a Comment

Toa maoni yako kwa uhuru na tafadhali naomba usichafue hali ya hewa humu ndani wala kujeruhi hisia za mtu au watu. (Let's please maintain a high level of discipline! Zero tolerance policy on abussive language!) Asante na karibu sana.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Mixed Posts