RAISI ATUA UWANJA WA NDEGE MPYA WA SONGWE...!!!


Picha mbalimbali zikimuonyesha raisi Jakaya Mrisho Kikwete alipotua katika kiwanja cha ndege cha songwe mjini mbeya mara baada ya kukamilika kwa kiwanja hicho kwenye eneo la kurukia na kutua ndege,Raisi ahimiza kukamilishwa kwa jengo la abiria ambalo liko kwenye hatua za mwisho ili kurahisisha utumiaji wa kiwanja hicho.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment