REGINA RAYA'S BRIDAL SHOWER YAFANA READING...!!!

Maharusi watarajiwa wakiingia ukumbuni
Bi Harusi Mtarajiwa akifungua mziki
Bi harusi Mtarajiwa akila pozi la nguvu
Bi Harusi Mtarajiwa akiwa na wapambe wake
MC Mariam Nice katokeleza si mchezo. Huyu ni Mc wa ukweli kama unashughuli yako na unahitaji MC tuwasiliane ntakupatia contact zake.
Mamdogo akifungua champagne
Mambo ya champagne
cheeeeeaz
Bi Harusi Regina Rayah(kushoto) akimlisha keki wifiye Macklina Kalinga
 Hakunaga
 Mamdogo wa bi harusi mtarjiwa Elina
 Mdogo wa bi harusi mtarajiwa Jacqueline! Mwanamke heena!!
Mdogo wa bi harusi mtarajiwa Salome katoka kihindi zaidi
 Maryam White akiwakilisha live
Chezea muke ya Mkenya aka my husband on point
Shem akikaribishwa kwa style na wapambe wa biharusi mtarajiwa
wageni waalikwa wakati wa sherehe
Bi harusi mtawajiwa Regina akiwa na mashosti
Mamdogo wa bride to be (kulia) Elina na shosti wake wametokeleza hatari!! mie hapo shingoniiii
Wadogo wa bi harusi mtarajiwa Jacqueline & Salome wametokeleza vibaya
Beautiful people full kushine
wakati wa msosi
Menu si mchezo na warembo pia wametoka si mchezo Joela, jacqueline & Salome
My ndugu Khadija kama kawa akiwakilisha
Wakati wa zawadi
Mackrina & Susan Mzee wakiwakilisha 
 Mariam B Nice MC mashuhuri ndani ya UK
Beautiful Theresa
Wadada wametokelezaje Sanka & Salome
Muke ya mkenya Manjau Nasibu, Maryam White & a friend 
 Fine TZ babes Sheilamina & my ndugu wa ukwee' Khadija

Manjau & Tunu mtu na wifi yake 
Mariam Nice, Bi Harusi mtarajiwa Raya & Maryam White 
Lovely
 Joela & the bride to be
Bi harusi na rafiki yake Sanka
Hawttt Sheilamina & Salome
Bwana Terry na Bi Harusi Regina watarajiwa
Beautiful people with the bride to be
Wadada wa ukwee wamependezaje
kitivo cha upodozi
---
Salam,

Siku ya Jumamosi tarehe 30.6.12 ilikuwa ni Bridal shower ya Bi harusi mtarajiwa Regina Rayah iliyofanyika hapa mjini Reading UK katika Ukumbi wa Irish Club. Sherehe hii ilifana sana MC ya shughuli hii alikuwa Marium Nice.

Harusi itafanyika tarehe 7 July 2012 katika kanisa la St Peter's Church, Church Road, Caversham, Reading RG4 7AD kuanzia saa kumi jioni na baada ya harusi sherehe itaanza saa kumbi na mbili na nusu jioni katika Hotel ya Hilton Drake way, Reading RG2 0GQ.

Kwa maelzo zaidi wasiliana na simu 07404151936

Asanteni

Picha kutoka Urban Pulse Creative.

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments/maoni:

  1. i love everything here kila kitu mahala pake, karibu sana muke ya muzungu wa ukweee....

    ReplyDelete