Loading...

WABUNGE WA SIMBA WAWAKANDAMIZA WATANI WAO WA YANGA KWA PENALTI 3-2...!!!


Wachezaji wa Simba (Wabunge) wakishangilia ushindi baada ya kuwafunga watani wao wa Yanga (Wabunge) kwa penalti 3-2.
Yanga baada ya kipigo hicho.
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mtanange wa watani wa jadi Simba na Yanga (Wabunge) wakati wa TAMASHA LA MATUMAINI ambapo wabunge wapenzi wa timu ya Simba wameibuka kidedea kwa penalti 3-2. Simba wamefunga penalti 3 wakati Yanga wakifunga 2.
(PICHA ZOTE NA GPL)
Reactions: 

Post a Comment

emo-but-icon

Home item

FOLLOW US ON INSTAGRAM

Instagram

WATCH CLOUDS TV LIVE

TIMES FM LIVE RADIO

E-FM LIVE RADIO