WAISLAMU WAKUTANISHWA NA TAASISI YA ALNNA JAH...!!!

Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam Fahamu Lubwaza kulia akifuturu pamoja na waumini wa Dini ya kiislamu Dar es salaam jana futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu kwa waislamu kwa ajili ya  kuiunga mkono
Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam Fahamu Lubwaza kulia akiomba duwa baada ya kufutulu na waislam wenzake Dar es salaam jana futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu kwa waislamu kwa kuiunga mkono
Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam Fahamu Lubwaza kulia akifuturu pamoja na waumini wa Dini ya kiislamu Dar es salaam jana futari hiyo ilikuwa ni moja ya kuitambulisha Taasisi hiyo ya kislamu kwa waislamu kwa  na kuiunga mkono
Baazi ya waumini wa kiislamu wakiomba Duwa baada ya kumaliza kufuturu wakati wa kuitambulisha Sheikh Mkuu wa chuo cha Alnna Jah cha Sheria za kiislam.
Picha na Rajabu Mhamila 'Super D'
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment