WEMA SEPETU NA JACQUELINE WOLPER WATOKA DROO KATIKA MPAMBANO WAO...!!!

Hakuna Mbabe wote wako fit!!!

Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacqueline Wolper wakati wa mpsambano wao

 Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana

Mabondia ambani ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wajkati wo Tamasha la vMatumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa 
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo
Wema & Jacqueline katika pose

Mdau wa mchezo wa Masumbwi Nchini Ibrahimu Kamwe akimwelekeza bondia Wema Sepetu kitu

Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio

Bondia Alphonce Mchumia Tumbo akipambana na Ramadhani Kido wakati wa mpambano wao mchumia Tumbo alishinda kwa K,O ya raundi ya Pili .

Mpambano ukiendelea kwa kutupiana makonde
Mchumia tumbo akioneshwa kuwa yeye ni mshindi wa mpambano huo

Bondia wa Zimbabwe akipewa mawaiza na wasaidizi wake wakati wa mpambano wake.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments/maoni:

  1. hawa walienda kuchekesha walionuna

    ReplyDelete