TAARIFA KWA WASOMAJI WA JESTINA GEORGE BLOG/ TO ALL JESTINA GEORGE BLOG FANS & READERS...!!!


Mtandao wenu pendwa wa JESTINA-GEORGE.COM unapenda kuwataarifu wasomaji wake wote kuwa kwa sasa blog imerudi hewani lakini bado tunaendelea na maboresho.

Mojawapo ya maboresho hayo  ni muonekano wa tovuti hii na urahisi wa kusoma habari tofauti na zamani. Samahani sana kwa usumbufu wowote utakao jitokeza kwa kipindi hiki. 

Tunawatakia usomaji mwema wa habari kupitia matandao huu. Endelea kutembelea mtandao wenu wa www.jestina-george.com

Imetolewa na:

Webmaster 
JGBlog 

---


TO ALL OUR FANS & READERSThis is to inform you that we're back but the site is still under construction so please bear with us as we upgrade.

Sorry for any inconveniences this may cause.

We'll be back better then ever.

Webmaster
JG Blog


Share on Google Plus

About Jestina George

  Blogger Comment
  Facebook Comment

16 comments/maoni:

 1. tuko pamoja, kila la kheri, mimi wa mwanzo kushukuru maana kuna vitu vya nyuma nilipata tabu sana kuvipata.

  ReplyDelete
 2. duuuhh. yaani kaanza Mange kubadili na wote mmefuata. haipendezi kuigana, kuweni wabunifu nyie bloggers wengine. this is not impressive at all..

  ReplyDelete
  Replies
  1. NYINYI WAPENZI WA MAGI HEBU MWACHIENI THE BEAUTIFUL JG APUMUWE

   KAMA MNA VIJI COMENT VYENU WEKENI KWENYE HIYO BLOG YENU PUMBAVUUUUUUU

   Delete
 3. wewe annonymous wa August 14 Mange kaanza ndo nini we mwehu kichaa idea ya blog ni Mange? mbona blog hizi hazifanani kabisa? Mange anatangaza familia yake na JG vitu tofauti mmeanza eeh. JG amenyamaza kimya mnamchokozo sio size yenu kabisa nyie endeleeni na maisha yenu kazi kujishebedua. Mbona kama ingekuwa ndo hivyo Michuzi angekuwa akiwanyanyasa sana watu kwani yeye ndo kati ya watanzania wa kwanza kuanzisha blog. Shikeni time Mange and her crew. sisi twampenda JG hana makuu.

  ReplyDelete
 4. Kuchange blog kuna cha ubunifu! kama wataka kujua ubunifu kamuulize Steve Jobs ustuletee ujinga wako. Wewe umebuni nini? Mwacheni mtoto wa watu na maisha yake kutwa mnamuandama. Jestina we love you songa mbele achana na wapuuzi. Nakuuliza annyonymous wa August 14 16:24

  ReplyDelete
 5. me dont like jESTINA
  HAHAHAHA

  ReplyDelete
  Replies
  1. Si lazima umpendee but tupo tunao mpenda

   Delete
 6. Hahahahaha tena tunampe na tunamshukuru sana mtoto wa watu yaani anaifanya kazi ya jamiii inavyotakiwa hizi Mange ni nani mbona hatuzijuwi na blog yake inaelezea nini!!!??????? Anatakiwa awasiliane na JG team ili wamsaidie kuweka blog yake hewani ili awe juu Kama Tina wetu na bado mtakomaaaaaaaaaaaasasa huu ni mwanzo tu

  ReplyDelete
 7. BLOG YAKO ILIKUWA NA MUONEKANO MZURI MWANZO...IACHE KM ILIVYOKUWA SAIZI INABIDI USOME HABARI MOJA THEN UFUNGUE NYINGINE WKT MWANZO ILIKUWA MUENDELEZO.CHA MUHIMU KWKO ILITAKIWA KUWEKA TU BLOG ARCHIEVE MAANA TULIKUWA HATUWEZI SOMA ZA NYUMA.Picha hazionekani fresh kama mwanzo kwa ukubwa na colour.Hakuna mvuto wa blog km first impression.Mange kabadilisha ila imekuwa na mvuto zaidi ni kweli

  ReplyDelete
  Replies
  1. Who is Mange hebu tupishe muacheni JGblog yake inabamba kama huioendii andamana

   Delete
 8. Wala si wapenzi wa Mange wanaocomment humu nyinyi hamjui kuna watu wagombanishi sana kila blog wanapita kugombanisha Mange na Crue yake Mawaziri hawana muda mchafu huo

  ReplyDelete
 9. hata mimi nitakubaliana na mdau hapo juu mwanzo hii blog ilikuwa nzuri zaidi kwani picha zilikuwa zikionekana vizuri na kubwa na ulikuwa una uwezo wa kusoma hata post inayofuata bila ku click read.. na vilevile blog ilikuwa inamuonekano wa kuvutia zaidi ila mange kajitahidi ya kwake imebaki katika ubora wa juu zaidi

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kubalini mabadiliko mtazoea tu mi nimeipenda

   Delete
 10. Anyway blog ya huyo mange na hii ya JG ni vitu viwili tofauti ninavyo elewa mimi sijui kwa nini mmekazana kufananisha na ya huyo Mange. Jestina uko juu sana kila mtu na style yake endelea hivyo hivyo

  ReplyDelete
 11. siku zote chnages zinakuwa ngumu kukubaliwa,mimi binafsi naipenda sasaive,mwanzo ilikuwa not organized na colour zilikuwa kali,sasahivi its very simple and neat. Tina embu check hiki kingreza hapo'we will are back'. i think the correct one should be 'We're back' or 'We'll be back'.

  ReplyDelete