Kama kawaida kipima joto si uraiani tu hata sasa bado anawakilisha
Pamba na kupendeza kama kawa, na wakina nanihiii hawa chezi mbali mweee

Lulu akionekana mwenye furaha. Kanenepaje!
Shavu dodo!
Don't get it twisted guys bado yuko jela!!!
Don't get it twisted guys bado yuko jela!!!

Kushoto Lulu anaonekana akitandika kitambaa kablaa ya kuketi ili suruali yake ischafuke. Chezea Lulu wewe superstar wa ukwee'
Dokta Cheni ndio msanii pekee wa filamu ambaye yuko bega kwa bega na familia ya Lulu. Big up kaka Mungu yupo pamoja nawe katika kufanikisha swala la Lulu limalizike hapa akiwa na wakili wa Lulu. Tuzidi kumuombea Lulu.
Picha kwa hisani ya Shakoor Jongo
Stay connected with Jestina-George.com, follow us on Twitter and Facebook for all the latest fashion trends, latest celebrity news, gossip, showbiz & current affairs









14 comments/maoni:
I still dont believe huyo mtoto wa watu alimuua huyo kaka, ipo siku ukweli utajulikana.
Nani kasema kama jela za Bongo shida angalia mtoto alivyonawari and look so mature and sexy as ever
I hope atatoka soon, kama kujifunza kashajifunza!
OOOooh gosh, this chick is hot...!Wengine tungechakaaje
Lulu polee mamy, Mungu akutetee mwaya utoke huko na uendelee na kazi zako.
Polee mamy, Mungu akutetee katika kila jambo.
Dah ahadi yake ilifika jamani muachieni lulu watanzania muwe waelewa siku yake ilifika wamekufa wangapi bana,so muombeni lulu atoke angalie maisha yake
lulu mtoto nchuri omba mungu day 2 day uwe huru
Dah! lulu omba mungu atakusaidia utatoka 2 matatizon
Pole xana mungu atakuafu
Pole xana mungu atakuafu
Pole mummy zidi kumuomba mungu atakushindia hakuna lisilowezekana kwake. Haya ni mapito tu.
MUNGU YUPO YATAISHA SOON
Lulu 2ko nawe ktk maombi
Post a Comment
Toa maoni yako kwa uhuru na tafadhali naomba usichafue hali ya hewa humu ndani wala kujeruhi hisia za mtu au watu. (Let's please maintain a high level of discipline! Zero tolerance policy on abussive language!) Asante na karibu sana.