NEW TRACK: NATAKA KULEWA (NIACHE) - DIAMOND PLATNUMZ...!!!

Track mpya ya msanii Diamond Platnumz aliyoipa jina la ‘Nataka Nilewe’ imeachiwa, ikiwa ni siku chache tu toka asaini mkataba na management mpya ya I-View Studios. Ngoma imetayarishwa na producer Maneke kutoka A.M Records.

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment