PICHA ZAIDI ZA SEND OFF YA AUNTY EZEKIEL PAMOJA NA SHEREHE YAKE YA BIRTHDAY...!!!

 Bi Harusi(Aunt) akiwa ndio anawasili ndani ya ukumbi huo kwa mbwembwe kubwa sana. Chezea mke wa Sunday aka Bongo celebrity!!!
  Wapambe wakiwa wamejipanga tayari kwa kumpokea huku Bibi Harusi akiwa anaingia ukumbini.
Bi Harusi akiwa tayari akiwa amefika sehemu yake maalum iliyoandaliwa kwa ajili yake huku akiwa kazungukwa na wapambe wake
 Yaelekea Aunty anahamia huko kwa mumewe manaa hii cake ina message yakumuaga.   Aunt Ezekiel alifanya Send off yake  ndani ya Serena Hotel iliyoambatana na sherehe ya kuzaliwa kwake wasanii wengi wa Bongo Movie walikusanyika kumsapoti ndugu yao huyo, kwa hiyo wale wakwale wanaopenda kudoea vya watu wafyate mikia yao kwani sasa Aunt ni mke wa Sunday anayeishi mjini Dubai itakapofanyika rececption yao.
Aunty akienda kukabidhi keki kwa wazazi
Heshima mtindo mmoja! Chezea mama wewe!!! 
 Wapambe walipendezajeee
 Mashosti  Wema na Jack Wolper full kutokeleza
 Msanii Cloud akiwa na Bibi Harusi Aunty katika picha ya pamoja 
  Davina (wa kwanza kushoto) Cath Rupia (wa katikati) na Mama Eriethy
  Maya na Chuchu Hans kati
  Odama na smile ya ukwee
  Mr na Mrs Cloud...............
 Ray na kijana wake wakiwakilisha
 Aunt akiwa kwenye vazi jengine kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa ambayo ilikuwa ni siku moja na send off yake.
  Wema na Manger wake Martin Kadinda wakiandaa ndafu kwaajili ya kusherekea siku ya kuzaliwa Aunty
 Ratiba ya kukakata ndafu ikiendelea!
 Wema aliwakilisha wananawake wa Bongo Movie kwa kula ndafu....
  Cloud aliwaakilisha wanaume wa Bongo Movie.....
Wapambe walipendezajeeee
Aunty akiwa ameongozana na shemeji yake kwenda kupata chakula hapa na kivazi kingine cha ukwee! kapendezajeee
  Mambo yakipamba moto..
mambo ya burudani kwa kwenda mbele
  Wolper & Wema wakionyehsa umahiri waoooo
 Recho Saguda nae wamooo
  Burudani ikiendelea..
 Maya hayuko nyuma naye...
  Mainda mpaka chini full kumwaga maraha
 JB nae kati
  Batuli akitoa show....
 Ray kama kawa show stopper
Steven Nyerere akifanya vitu vyake
 The Greatest nikiwa na Da Natasha katikati na JB mwenyekiti wa Bongo movie...

Props to Ray the Greatest


Share on Google Plus

About Jestina George

  Blogger Comment
  Facebook Comment

12 comments/maoni:

 1. Aunty umebambaaaaaajeeee,nguo tatu usiku mmoja mmmmh hapan chezea mambo ya fwezaaaaaaa,na mambo ya serena hotel hatariiiiiii..Wema nimependa nguo yako nzuriiiiii imekupendeza n that hair style suits u better,u look very young kulijko ukiweka yale ma lace wig yako unaonekana mzeeeeeeee..Ukatulie huko Aunty uache kutuaibisha sherehe zoooooote halafu uachike

  ReplyDelete
 2. Congratulation Aunt! U'r looking so beautiful girl! Luv u!!!!

  ReplyDelete
 3. you look happy, may you be blessed in your marriage.
  Be blessed!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 4. luqn gud mumy u ma fvrt...lov uuuuu

  ReplyDelete
 5. Daaaahhh, Uongo Mbaya Binti Anapendeza Kila Idara... Safi Sana, Haya Anaeweza Kuiiga Vise vesa Ya Aunty Aige Tuuu.. Hongera Mwali uko Juuuuuu Kama Nyota...

  ReplyDelete
 6. Looking gud mamy....nimependa send off yako

  ReplyDelete
 7. Looking gud mamy......am very proud of u.....

  ReplyDelete
 8. Kiukweli Imependeza Send off yako mwana.
  Ukatulie kwenye ndoa yako kwani ndoa si lelemama bibie. Upo hapooooooooooo?

  ReplyDelete
 9. hongera sana mdada wangu.....mungu akutangulie.

  ReplyDelete
 10. HONGERAAAA! NDOA INA NYAKATI. NYAKATI ZA ASB, MCHANA NA JIONI! PAMBANA NA NYAKATI HIZO MAMA.

  ReplyDelete