PICHA NA VIDEO: MAELFU YA WATU WAJITOKEZA KATIKA KUMSALIA SHEKH NASSOR ABDALLAH BACHU KWENYE VIWANJA VYA MAISARA ZANZIBAR...!!!


Sheikh Nassor Alisaliwa katika Viwanja Vya Maisara na Kuzikwa kijijini kwao Donge
Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi Akishuhudia Jeneza la Sheikh Nasssor Bachu

Kutokana na watu kuwa wengi sala ya maiti ilifanywa kwenye viwanja vya Maisara na sio msikiti wa kikwajuni kama ilivyotangazwa hapo mwanzo.
Mwenyezi Mungu Amuweke marehemu mahala pema peponi Ameen.

Angalia video clip hapo chini wakati Mwili wa marehemu ukiondoka Maisara kuelekea Donge
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments/maoni:

  1. Mungu ailaze roho ya sheikh Nassoro Bachu mahala pema peponi..Aamin

    ReplyDelete