WEMA SEPETU ATANGAZA NAFASI ZA KAZI KATIKA KAMPUNI YAKE MPYA"ENDLESS FAME FILM"...!!!

Wema Sepetu, CEO Endless Fame Films
Siku chache baada ya kuzindua ofisi na kampuni yake ya Endless Fame Films msanii wabongo movie 'Wema Sepetu'  leo hii kupitia katika ukurasa wake wa twitter ametangaza nafasi za kazi mbalimbali ikiwemo, graphic designer, editor, camera man, usekretari. Kama una ujuzi huo basi tuma CV yako kuptia barua pepe hii hapa: endlessfameproduction@gmail.com
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment