NGUO ALIYOVAA WEMA SEPETU KWENYE WOMEN DAY CELEBRATION YAMGHARIMU 1.5 MILION TSHS...!!!

Beautiful Onyine aka Wema Sepetu alikimbiza na kivazi chake, make up na nywele kwenye green carpet ya Women Day Celebrations iliyofanyika 3 March 2013 katika Ukumbi wa VIP Diamond Jubilee.

According to Manager wake Martin Kadinda kupita mtandao wake wa Mvuto Kwanza ameeeleza hayo na kumtaja designer wa nguo hiyo ambaye ni Eve Collection na ambaye pia ni the most expensive designer in Dar with fab unique designs. 

Alipendeza sana! Make up by GlamDam
Hair by: Diana Kinondoni
Eve Collection wanapatikana:
THE ARCADE BUILDING,  MIKOCHENI
MAWASILIANO:: +255 713 627131

Share on Google Plus

About Jestina George

  Blogger Comment
  Facebook Comment

11 comments/maoni:

 1. Aaaaaagh!Like we need to know the price.She sooooo cheapens herself.Girl you are contradicting yourself with this.Your article of 8th January 2012 ."THIS IS A MUST READ....!"Is far from this .Eeeeh!Yes,She is gorgeous.Smartly dressed.Kudos to the designer.All we needed to know...is who made the dress.The price tag, she can keep that to herself.People who know the designer,knows how her stuff are priced...and for those who don;t they can go find out for themselves.Saying what she has...she might as well walk with the price tag on it.Cheeee!

  ReplyDelete
 2. mmh 1.5? I don see anything special ya kufanya iwe na bei hiyo....she looks stunning tho, make up on point.

  Liz Victor

  ReplyDelete
 3. I always see Sporah Njau wearing MOREEEEEEE expensive dress than this, Flaviana Matata, Milen Magesa, Kylin etc.

  ReplyDelete
 4. Ni nzuri tena ya heshima,lakini kwa gharama yake nadhani designer aliangalia nafasi ya fedha ya mvaaji, ndo maana aligonga kiasi chote hicho cha pesa.

  ReplyDelete
 5. ub rock Wema! u r a star let them say what they want to say dear! luv u big time gal

  ReplyDelete
 6. Hana imani pesa mwenyezi mungu amekupa saidia masikini kidogo

  ReplyDelete
 7. hey wema you look xo gogurs i like the dress & everything in you they can say what thay want to say that can only mean that they are juolers infact your xo kind and ide love to hungout with you you know how hewmans are? uko mhot xanaa wee ni superster unawachaa kwa mata binadamu ndio waxemwa si wanyama kila mtu ako na story zake kila mtu ako na shida zake 2skize zoko kwa nini

  ReplyDelete
 8. NDO MAANA ANATAMANI KUFA MAANA KILA ANACHOFANYA WAJINGA NDO WANAMSIFIA SASA ML1.5 NDO JAMBO LA MAANA HILO. NYUMBA TU NDO DILI

  PILI MAMAKE ALISEMA KAMTENGENEZA PENGINE MASHETANI YANAMTOKEA USIKU YAMUUE UWIIIIIIIIIIII

  AU KAJIUNGA NA FREEMASON SASA YAMEMFIKA KAMA ... WA BONGO MOVIE... WA MADINI.... MWANASHERIA... RUBANI ....KESHO

  ReplyDelete
 9. Sijawahi kuona watu wenye wivu kama nyie...mtakufa midomo wazi... Wema umependeza, hela zako, na wewe kijana fanya kinachokufurahisha... Wengine na miwivu yao, kazi yao itabaki kuwa haters tu... Mie nahisi huyo moja kati ya malaya wa diamond domo chai jaba! Lmao

  ReplyDelete
 10. umependeza mdada, aft all wanataman lif lako dats y, kula maisha mama, u deserv it.............hatersssssssssssssssssssssssssssss!

  ReplyDelete