PICHA YA KIONGOZI WA CHADEMA MBEYA ALIYEPIGWA RISASI.

Katibu mwnezi wa chadema wilaya ya mbeya vijijini Jackson Mwasenga ambaye pia ni mwenyekiti wa Kitongoji cha mzalendo kijiji cha Ndola mjini Mbalizi akiwa katika Hospitali ya Mbalizi Ifisi akipata matibabu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
{Picha na Gordon Kalulunga}
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment