MUONEKANO WA VIWANJA VYA LEADEARS CLUB. Leaders Club kila kitu kinakwenda sawa kabisa na kama mnavyoona steji imekamilika na kupambwa vizuri ili watanzania waishio Dar es Salaam wapate nafasi yakutoa heshima zao za mwisho kwa ndugu yetu Albert Mangweha na baada ya kuuaga basi safari yakuelekea Morogoro itaanza.

Image Credit: DJ Choka
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment