Loading...

RATIBA YA MAZISHI YA LANGA KILEO.


Ratiba ya mazishi ya ndugu yetu Langa Kileo itakuwa kama ifuatavyo, msiba upo nyumbani kwa wazazi wa Langa maeneo ya Mikocheni nyuma ya Hospitali ya AAR zamani kulikuwa na ofisi za Benchmark Production. Mwili wa marehemu utaagwa siku ya Jumatatu majira ya saa 7 mchana na baada ya hapo mwili utaelekea makaburi ya Kinondoni kwa mazishi majira ya saa kumi alasiri.

Reactions: 
Ratiba ya mazishi 3320514119452015332

Post a Comment

emo-but-icon

Home item

FOLLOW US ON INSTAGRAM

Instagram

WATCH CLOUDS TV LIVE

TIMES FM LIVE RADIO

E-FM LIVE RADIO