Mohamed Matope amzawadia mkewe Missy TEMEKE gari aina Ya Range Rover sports car kwenye kutimiza miaka 13 Ya ndoa yao.

 Mohamed Matope akipokelewa kwa kiss na mke wake miss Temeke baada ya kumkabidhi mkewe Range Rover sports ikiwa ni zawadi yake ya kutimiza miaka 13 ya ndoa yao 
 Wapendendao mumewaona hao
Hongereni sana Mr and Mrs Matope Mwenyezi Mungu Akujaaliane kila la kheri kwenye maisha yenu ya ndoa
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment