PICHA: MAZISHI YA ABDU BONGE MOROGORO

 @diamondplatnumz @babutale wakiwa na Mtoto wa Marehem Abdu Bonge alivaa fulana nyeusi pembeni. Abdu Bonge amezikwa leo katika mkoa wa Morogoro kijiji cha Mkuyuni ambako alikozaliwa, Abdu Bonge alifariki Mach 28 na Mwili wake kusafirishwa siku ya j3 mkoani humo. Mamia ya wanakijiji, wasanii na wakazi wa Magomeni ambako alikuwa akiishi wamejitokeza kwa wingi kumsindikiza katika safari yake ya Mwisho. Bwana ametoa na Bwana ametwaa. 

Share on Google Plus

About John Sambila

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment