Maalim Seif akutana na Balozi wa Kuwait pamoja na mwakilishi wa shirika la afya duniani (WHO) nchini

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Ibrahim Al- Najem, ofisini kwake Migombani.
 Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Ibrahim Al- Najem, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ofisini kwake Migombani.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Ibrahim Al- Najem, baada ya mazungumzo yao ofisini kwake Migombani.
 Muwakilishi wa shirika la afya duniani (WHO) aliyepo Zanzibar Dk. Andemichoel Ghirmoy, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ofisini kwake Migombani.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na muwakilishi wa shirika la afya duniani (WHO) aliyepo Zanzibar Dk. Andemichoel Ghirmoy, ofisini kwake Migombani.
Muwakilishi wa shirika la afya duniani (WHO) aliyepo Zanzibar Dk. Andemichoel Ghirmoy, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ofisini kwake Migombani.  (picha na Salmin Said, OMKR)
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment