MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHITIMISHA KILELE CHA MAADHIMISHO YA 27 YA WIKI YA MAJI MKOANI MARA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa Ufaransa nchini, Malika Berak (wa pili kulia) wakikata utepe kwa pamoja kuashiria kuzindua rasmi mradi mkubwa wa maji wa Musoma mjini uliogharimu jumla ya Sh. Bilioni 41, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mara jana Machi 22, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa Ufaransa nchini, Malika Berak (katikati) na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) kwa pamoja wakifunua kitambaa kuweka Jiwe la Msingi la kata mradi mkubwa wa maji wa Musoma mjini uliogharimu jumla ya Sh. Bilioni 41, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mara jana Machi 22, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo ya mradi huo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Musoma, Gantala Said, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mara jana Machi 22, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi wa Musoma wakati akiondoka baada ya kuzindua mradi huo mkubwa wa maji jana wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mara jana Machi 22, 2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Maji wa Wizara ya Maji, Nadhifa Sadiki, wakati makamu alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho kwenye sherehe za Kilele cha maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji zilizofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mkendo mjini Musoma Mkoani Mara jana Machi 22, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Bohari Kuu Boko Dar es Salaam, Clepline Bulamo, wakati makamu alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho kwenye sherehe za Kilele cha maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji zilizofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mkendo mjini Musoma Mkoani Mara jana Machi 22, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya Pipe Industries Co. Ltd, Ezra Chiwelesa, wakati makamu alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho kwenye sherehe za Kilele cha maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji zilizofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mkendo mjini Musoma Mkoani Mara jana Machi 22, 2015.
 Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Kikombe cha mshindi wa pili kwa kutoa huduma kwa Jamii, Meneja wa Tawi la Davis & Shictliff Ltd, Ellison Malyi, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji zilizofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mkendo mjini Musoma Mkoani Mara jana Machi 22, 2015.
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Kikombe cha mshindi wa kwanza kwa kutoa huduma kwa Jamii, Afisa Ugavi wa Bohari Kuu Dar es Salaam, Sophia Mtumbi, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji zilizofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mkendo mjini Musoma Mkoani Mara jana Machi 22, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa sherehe hizo za kilele cha maadhimisho ya 27 ya wiki ya maji baada ya kuhutubia na kufunga rasmi sherehe hizo jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ngoma za asili wakati aliwapowasili kwenye uwanja wa ndege wa Musoma jana kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za Kilele cha maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji zilizofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mkendo mjini Musoma Mkoani Mara jana Machi 22, 2015. Picha na OMR
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment