SAFARI YA MWISHO YA ABDUL BONGE ILIVYOKUWA KUTOKA DAR KWENDA MORO

Mwili wa Abdul Bonge ukifikishwa nyumbani kutokea Muhimbili tayari kwa kusafirishwa.
Meneja wa TMK Wanaume Family na Yamoto Band, Said Fella na Nasib Abdul ‘Diamond’ wakiwaongoza waombolezaji.
Msanii wa filamu za Kibongo, William Mtitu, akiwaelekeza jambo waombolezaji.
Waombolezaji wakilia kwa uchungu.
SAFARI ya mwisho ya mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection na Meneja wa kundi hilo, Abdul Bonge, leo ilianzia nyumbani kwake Magomeni-Kagera jijini Dar es Salaam mwili wake iliposafirishwa kupelekwa mkoani Morogoro kwa ajili ya mazishi.
Wakati mwili wake ulipowasili nyumbani kwake kutoka Hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi, umati wa waombolezaji uliangua kilio na kusababisha hali ya kutosikilizana.
(PICHA : RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY / GPL)
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment