Dk Shein akagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la abiria katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili wakati alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akifuatana na Viongozi mbali mbali wakati alipofanya ziara ya kutembelea Ofisi ya Zima moto na sehemu mbali mbali ikiwemo na ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo,
 Mkuu wa Kikoso cha Zimamoto Zanzibar Kamishna  Ali Abdalla Maalim Ussi akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea kiyuo cha Zima moato kiliopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume alipofanya ziara maalum leo,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wafanyakazi wa Kampuni ya kichina inayojenga Jengo la Terminal II leo wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa jengo hilo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mshauri mwelekezi wa kampuni ya  adpi ya Ufaransa Guillaume VERNA wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa jengo hilo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Abiria Terminal II Yasser De Costa katika Wizara ya Miundimbinu na Mawasiliano   wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II  katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo ya kiufundi kutoka kwa Mshauri mwelekezi wa kampuni ya  adpi ya Ufaransa Guillaume VERNA wakati alipofanya ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa jengo la Abiria Terminal II unaojengwa na kampuni ya Kichina katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo (kushoto)Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili ,
[Picha na Ikulu.]

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment