Maalim na Balozi Seif washiriki mazishi ya mkwe wa Waziri Mkuu , Mizengo Pinda

 Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif  Hamad akimsikiliza kwa makini Waziri wa Mkuu Mizengo Pinda wakati wa mazishi ya mkwewe yaliyofanyika Dar.
  Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif  Hamad akijumuika na viongozi wengine kwenye mazishi ya mkwe wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakijumuika pamoja na viongozi wengine wa Serikali na viongozi ya Ukawa, katika mazishi ya mkwewe Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda Bw,Abdallah Suleiman Rehani.Marehemu amesaliwa Tabata Magengeni na kuzikwa katika makaburi ya Segerea. (picha na Salmin Said, OMKR)

Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment