TANGAZO LA MSIBA WA MAMA FLORA KAAYAFamilia ya Marehemu Freddrick Nicholaus Kaaya wa Mikocheni  Dar es Salaam, wanasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Flora Kaaya kilichotokea 11/04/2015 katika Hospitali ya TMJ.

Mwili wa Marehemu utaagwa nyumbani kwake Mikocheni siku ya jumatano Aprili 15,2015 kuanzia saa 4 asubuhi.

Mazishi yatafanyika kijiji cha Akheri –Arumeru, Arusha suku ya Alhamisi Aprili 16,2015 saa 4 Asubuhi.

 BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment