TANGAZO LA MSIBA WA MAMA YETU BI EVELYN J MALUME

Bwana Eddie Shebe Malume na Familia yake Kwa uchungu na simanzi kubwa, wanasikitika kutangaza kifo cha mama yao mzazi EVELYN J MALUME kilichotokea alfajiri ya leo tar 10/04/15 hapa UK baada ya kuugua kwa muda mfupi ugonjwa wa kansa. Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Kwa wale walioko UK, msiba uko nyumbani: 187 FARRANT AVENUE, WOOD GREEN, LONDON, N22 6PG. Call/WhatsApp +44 7983 501 312.
Share on Google Plus

About JG Blog Team

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment