TPB wazinduwa Tawi jipya Kimara Mwisho Dar es Salaam

Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya hafla ya uzinduzi wa tawi dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya hafla ya uzinduzi wa tawi dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta Tanzania (TPB), Profesa Lettice Rutashobya (kulia) akimkabidhi kadi ya TPB mteja wa kwanza kuhudumiwa katika tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta Tanzania (TPB), Profesa Lettice Rutashobya (kulia) akimkabidhi kadi ya TPB mteja wa kwanza kuhudumiwa katika tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam.Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kulia) akimpongeza mteja wa kwanza kuhudumiwa katika tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi (kulia) akimpongeza mteja wa kwanza kuhudumiwa katika tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakitoa huduma kwa baadhi ya wateja waliofika katika hafla ya uzinduzi wa tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakitoa huduma kwa baadhi ya wateja waliofika katika hafla ya uzinduzi wa tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakitoa huduma kwa baadhi ya wateja waliofika katika hafla ya uzinduzi wa tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakitoa huduma kwa baadhi ya wateja waliofika katika hafla ya uzinduzi wa tawi jipya dogo la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam.Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akisaini katika kitabu cha wageni cha Ofisi ya TPB tawi dogo jipya la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akisaini katika kitabu cha wageni cha Ofisi ya TPB tawi dogo jipya la Benki hiyo lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam.Meneja Mkuu Utawala na Huduma wa Benki ya Posta Tanzania, Diana Myonga (kulia) akifafanua jambo kwa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi kwenye hafla ya uzinduzi wa Tawi dogo la TPB lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Teknolojia na Uendeshaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Jema Msuya. Meneja Mkuu Utawala na Huduma wa Benki ya Posta Tanzania, Diana Myonga (kulia) akifafanua jambo kwa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi kwenye hafla ya uzinduzi wa Tawi dogo la TPB lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Teknolojia na Uendeshaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Jema Msuya.Baadhi ya wateja wa kwanza wa tawi jipya dogo la TPB lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam wakihudumiwa. Baadhi ya wateja wa kwanza wa tawi jipya dogo la TPB lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam wakihudumiwa.Baadhi ya wateja wa kwanza wa tawi jipya dogo la TPB lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam wakihudumiwa. Baadhi ya wateja wa kwanza wa tawi jipya dogo la TPB lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam wakihudumiwa.Muonekano wa tawi jipya dogo la TPB lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam. Muonekano wa tawi jipya dogo la TPB lililopo Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam.
Share on Google Plus

About Jestina George

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment